Kuku wa kienyeji baada ya kutaga uchukua muda gani kuanza kuyalalia mayai

Mkuu kuku wangu Kuna mahali alitagia mazingira hayakuwa mazuri nikayaamisha lkn baada ya siku moja akataga mahali nilipomwamishia je hi inaweza kuwa sababu ya kutokulalia na je nifanyeje ili aweze kulalia
Hiyo ni sababu tena kubwa tu maana kuku wa kienyeji ukimhamishia mayai yake ana tabia ya kususa, kama zimepita siku 4 hawezi tena kulalia maana vichocheo vya kumfanya alalie vimeisha. Muache tu ndani ya wiki mbili ataanza tena kutaga, safari hii usimsumbue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom