kuku ndizi!

flintsky

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
654
744
kuna mshkaji kanichukua hapa tukale kuku ndizi!
cha ajabu tukaenda bar bado nashangaa akamwambia waita alete kuku ndizi!analeta banana(pombe)na kiroba jogoo!
akaagizia na chips kavu huku anashushia na kiroba jogoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom