KUKU Kuku Kuku Wanahitajika

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
Wana jamii...nahitaji kuku wa nyama idadi isiopungua kuku 1000 kwa maelezo zaidi na kufanya biashara piga no 0785168001...kama hauko serious au wewe ni dalali usipige tafadhali.
 
Nahitaji kuku wa nyama idadi isiopungua elfu moja kwa aliye nao na anayetaka kufanya biashara naniieki kwenye 0785168001 please naomba wanitafute wenye kuku tu sihitaji madalali...kwa walio serious tu na-insist only serius sellers please
 
Kuku unaowataka ni wa kienyeji au wa kisasa (broiler) mmana mm nafuga kuku wa kisasa uko wapi nikuletee nauza kwa sh. 4700/=
nahitaji kuku wa nyama idadi isiopungua elfu moja kwa aliye nao na anayetaka kufanya biashara naniieki kwenye 0785168001 please naomba wanitafute wenye kuku tu sihitaji madalali...kwa walio serious tu na-insist only serius sellers please
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom