Kama kawaida...si unajua ndege ndo mlo wenyewe
nahitaji kuku wa nyama idadi isiopungua elfu moja kwa aliye nao na anayetaka kufanya biashara naniieki kwenye 0785168001 please naomba wanitafute wenye kuku tu sihitaji madalali...kwa walio serious tu na-insist only serius sellers please
Mama Joe unaitwa hukuWana jamii...nahitaji kuku wa nyama idadi isiopungua kuku 1000 kwa maelezo zaidi na kufanya biashara piga no 0785168001...kama hauko serious au wewe ni dalali usipige tafadhali.
Unao wangapi? Nipigie kwenye hiyo namba nikupe maelezo ya kunipata...