Kuku kuku kuku wa kienyeji

swtlady

Senior Member
Oct 22, 2013
156
102
Habari wanajamvi, ninauza kuku wa kienyeji.unaweza kuletewa mpaka ulipo kwa wakazi wa dodoma bei sh.10000@ wakiwa tayari wameshaandaliwa ( kuchinjwa na kusafishwa).kwa anaetaka wazima pia wapo bei ni ile ile.kwa anaehitaji anipm tutawasiliana.karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom