Kuku anaingia mwenyewe kwenye tenga...

fumbo hili halina mipaka. Nimesoma maoni ya wateguaji nikaona hakuna aliyekosea.
 
Kakukuruka vyema,

Kaachiwa na kuonyeshwa tundu la kutokea, badala yake kajidanganya kwa kutamani mbegu chache zilizobakia kwenye tenga. Anarudi, anarushiwa mchele wa kutosha nje ya tenga hataki kutoka kisa mahindi kiduchu. Kwa kiburi kabisa anajaribu kuwadonoa hata wale ambao wangemsaidia, anawatishia... anang'ang'ania kukaa kwenye tenga!

Kwakuwa ni 'kuku wa kizungu' tumwache tusifunike tenga na 'kumshughulikia'?

Hapo nimeachwa kwenye mataa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom