Kuku anaingia mwenyewe kwenye tenga...

Mkuu enzi hizo Boarding Jeshi! Tambaza nadhani baadae waliifunga ndio wakati huo wasema wewe, walitawanya wanafunzi wake nchni nzima! maana watoto wa Tambaza kwa kweli ilikuwa bangi na kitabu basi, ila walikuwa very strong. Baadhi yao ndio walikuja kuunda kundi la Black Mamba wakati wa uchaguzi wa 1995, Kikundi maarufu sana cha ukombozi unaweza kufananisha kidogo leo na JF na Makamanda. Ila Black mamba kilifika mbali kidogo ki malemgo.

kaka kwa tuliosoma sekondari enzi hizo tunajua suluba za life; hawa wanaoleta habari za JKT sasa hivi wala wasijisumbue maana wengine tumesha-qualify.
 
i like the way you represented the thread big up invinsible.

inabidi kuku aachiwe too as long as hana haja ya kufata mchele wa nje ya tenga hayo maindi ya ndani yanamtosha. kwanza anaonyesha jinsi gani sio mlafi hapend vitu vya nje, anaridhika na vya ndani la tenga lake. kilichobak ili kumkamata vizuri au tufumbe macho tuchome na tenga jenyewe anaweza akawa kuku wa sumu.
 
Kakukuruka vyema,

Kaachiwa na kuonyeshwa tundu la kutokea, badala yake kajidanganya kwa kutamani mbegu chache zilizobakia kwenye tenga. Anarudi, anarushiwa mchele wa kutosha nje ya tenga hataki kutoka kisa mahindi kiduchu. Kwa kiburi kabisa anajaribu kuwadonoa hata wale ambao wangemsaidia, anawatishia... anang'ang'ania kukaa kwenye tenga!

ni 'kuku wa kizungu' tumwache tusifunike tenga na 'kumshughulikia'?
Kwakuwa

Kweli hamjaelewa au mnamuhifadhi??!! c brother ben huyu aliyeelekea Igunga??!!! Wakati ule kashambuliwa wee, na baadaee ndo akaja katulia tuli mzee wa watu!!! Kauchaguzi kadogo tu ka Igunga, kanamtoa roho; ni kama anataka tena kutukanwa na keshaanza kuonja joto ya jiwe!!! madiongo madogo ya hapa na pale ayapatayo sasa ni mchele huo; asome maandishi ukutani na aachane na Igunga, lakini kwa p[unje za mahindi zilizopo kwenye tenga (kiti cha igunga) anataka kupuuza yote!!!
 
Mimi naona tukupe mji ili utupe jibu.
Na mji ni Bagamoyo au igunga,chagua moja

Wacha nimchagulie mji; Five Star Modern Taarab; naamini wapenzi wa bendi hiyo watasahau kidogo jinamizi la ajali lililowaondoa wanamuziki wa ku ndi hilo
 
Huyo lazima atakuwa kuku wa kibulushi aliyekuwa ndani ya tenga lililotengenezwa kwa kutumia magamba.
 
Kwakuwa

Kweli hamjaelewa au mnamuhifadhi??!! c brother ben huyu aliyeelekea Igunga??!!! Wakati ule kashambuliwa wee, na baadaee ndo akaja katulia tuli mzee wa watu!!! Kauchaguzi kadogo tu ka Igunga, kanamtoa roho; ni kama anataka tena kutukanwa na keshaanza kuonja joto ya jiwe!!! madiongo madogo ya hapa na pale ayapatayo sasa ni mchele huo; asome maandishi ukutani na aachane na Igunga, lakini kwa p[unje za mahindi zilizopo kwenye tenga (kiti cha igunga) anataka kupuuza yote!!!

unafaa kuwa mnajimu wa nyota na ndoto
 
japo umekosea nyota nangu, kwenye 'CCM' geuza 'C' ya katikati halafu chora kipenyo.

Ndo maana Watanzania tumekuwa washikaji damu damu wa umaskini kwakuwa hamtaki kusikiliza ushauri wa wataalamu na badala yake mnataka kutuletea usomi wenu wa kukaririshwa kutoka kwa ma-lecturer waliokariri walichokaririshwa!!! Nishakuambia nyota yako NGE wewe unasema nimekosea---- kwani we ulikuwa na akili na kuona siku uliyozaliwa?!
 
Nahisi kuna 'mzigo' wa mahindi utateremshwa! nipo kona nakula pop corn nikimwangalia kuku akidonyoa punje chache alizotupiwa.
 
Kakukuruka vyema,

Kaachiwa na kuonyeshwa tundu la kutokea, badala yake kajidanganya kwa kutamani mbegu chache zilizobakia kwenye tenga. Anarudi, anarushiwa mchele wa kutosha nje ya tenga hataki kutoka kisa mahindi kiduchu. Kwa kiburi kabisa anajaribu kuwadonoa hata wale ambao wangemsaidia, anawatishia... anang'ang'ania kukaa kwenye tenga!

Kwakuwa ni 'kuku wa kizungu' tumwache tusifunike tenga na 'kumshughulikia'?

Huyu ni RA, alipigiwa kelele za kujivua gamba akajivuta vuta hatimaye kwa shingo upande akavua gamba na kueleza kuwa anaondoka kwa sababu CCM sasa ina siasa uchwara, mara umekuja uchaguzi mdogo huyoooo karudia siasa uchwara tena.
 
HAPA NI MVUTANO WA KISIASA KATI YA MADIWANI(5) ARUSHA, CHADEMA NA CCM.

CCM >MADIWANI> CHADEMA.
Invisible toa jibu.
 
Alirushiwa sana makombora ili asiende kufanya uzinduzi wa kampeni za chama chake Igunga ....lakini wapi akajifanya hasikii,wakati huo huo anapenda kuwachana wapinzani ambao ndo wana nafasi kubwa ya kumuokoa kila apatapo nafasi ya kuhutubia kwenye mikutano ya ccm.Huyu bila shaka ni Benyamin William Mkapa
 
Kama ni huyu aliyeko Igunga,hivi si alisema eti amepumzika siasa? au ndo alimaanisha hajaacha siasa? haka kauchaguzi ka mbunge ni kadogo kwa kiwango chake..
 
thirsty.jpg

Hey Mkuu, is it really you, au yuko mtu ameamua kutumia jina na signature yako?

Wherever you have been, it is great to have you back!
 
Mkuu enzi hizo Boarding Jeshi! Tambaza nadhani baadae waliifunga ndio wakati huo wasema wewe, walitawanya wanafunzi wake nchni nzima! maana watoto wa Tambaza kwa kweli ilikuwa bangi na kitabu basi, ila walikuwa very strong. Baadhi yao ndio walikuja kuunda kundi la Black Mamba wakati wa uchaguzi wa 1995, Kikundi maarufu sana cha ukombozi unaweza kufananisha kidogo leo na JF na Makamanda. Ila Black mamba kilifika mbali kidogo ki malemgo.

Hahaha Mkuu hapo kwenye RED tuombe radhi kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom