Kukosekana Uwajibikaji Kunavyowatafuna CCM!!!!!!!!!

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Kama ilivyowahi kusemwa huko nyuma "once a fisadi, alwayz.....". Nadhani wengi wetu mmesikia kilichotokea kuhusu helikopta za kampeni ya CCM. Ntawashangaa wale wanaoshangaa kwamba kukwama kwa helikopta hizo ni bahati mbaya. Hebu tukumbushane kidogo ni Tanzania hiyo hiyo gari ya raisi imewahi kuishiwa mafuta, ni hiyo hiyo gari ya mkulu imewahi kupata pancha, kuna zile cheki ya JK na pia ile ya mkewe zilizokosewa maneno kulinganisha na tarakimu. Ok simple huo ni upande wa serikali. Kwa ufahamu wangu uwajibikaji upande wa chama ndiyo legelege kabisa hili hata wanaCCM na viongozi wao wanalikubali.

Sasa mnashangaa nini mnapoambiwa hizo chopa mlizoambiwa zitatumika zaidi ya mwezi sasa kwamba vibali vilikuwa havijaandaliwa siku nne kabla ya kufunga kampeni???

Ukiingia kiundani huu ni uzembe tunaoushuhudia katika kila sekta ndani ya bongo, na CCM ndiyo haswaa muasisi wa utamaduni huu wa uzembe uzembe, kukosekana uwajibikaji, ujanja ujanja and now this is the best they can get. CHADEMA wao vibali vyao waliprocessia wapi?

attachment.php

2.
200tyqq.jpg

Chopa za JK mwaka jana

3.
24eqdu0.jpg

Cheki aliyopewa mama Salma
 
Wee hebu angalia NEC siku zote hizi eti majina ya wapiga kura wanabandika leo!!!!!!!!!
 
huoni uchumi supermarket wanatangaza sukari kilo sh 2300 na wakati rais alisema iwe sh 1700
 
Eti pinda na rais wanashangaa makao makuu ya wilaya butiama kuwa mahali tofauti na butiama,wakati tangazo limesainiwa na rais
 
Mkuu Nyambala umenikumbusha mbali na hiyo dummy cheque!!!! Aides wa JK ni mbumbumbu!!!
 
Ngeleja na matangazo yake ya kupunguza ukali wa mgao wa umeme ndio yanayoniacha hoi kwa sasa. Kumbe tatizo ni kubwa zaidi ya TANESCO yenyewe. Gesi ya kuendeshea mitambo hii ya kukodi haitoshi. Mafuta mazito ya mitambo ya IPTL hayapo ya kutosha. Mitambo yenyewe ya TANESCO iko hoi! Akina Symbion, Aggreko, IPTL wanakamua capacity charge kwa kwenda mbele!
 
Sawasawa mkuu, sasa kama mambo siriazi tunakuwa namna hii unategemea huyo anayeratibu chopa za CCM wamemtoa mbinguni?
 
Sawasawa mkuu, sasa kama mambo siriazi tunakuwa namna hii unategemea huyo anayeratibu chopa za CCM wamemtoa mbinguni?
Nenda sasa EWURA na bei ya mafuta. Wanajaribu kusimamia bei ya mafuta wasiozalisha wala kusambaza. Anyway. Matangazo yao ya bei elekezi kwenye magazeti yanasaidia vyombo hivi vya habari viendelee kuwepo angalau!
 
Hili ndilo tukio langu la kwanza lilinifanya nimchukie JK sana!!! Najua kuna mengine mengi tu yalifuata, lakini hili ndilo hasa nililonifanya numone JK ameamua kudhalilisha "presidency institution"

Look at hime the way he was happy....phewww!!!!
 
Raisi ambaye hajui kwa nini wananchi wake ni masikini,Raisi ambaye anashangaa mambo yanavyoenda kinyume, Rais mbaye ameifanya magogoni kama sehemu kulia bata.
 
Mkuu Nyambala umenikumbusha mbali na hiyo dummy cheque!!!! Aides wa JK ni mbumbumbu!!!

Mm nadhani wao hawana makosa. Siku zote mbumbumbu huteua mbumbumbu. Ukiwa smart kwa makosa ukateua mbumbumbu unatimua then unaweka smart but ukiendelea kubeba mbumbumbu then obviously wewe pia u mbumbumbu
 
Mkuu Nyambala umenikumbusha mbali na hiyo dummy cheque!!!! Aides wa JK ni mbumbumbu!!!

Mkuu Nyunyu kwa heshima na taadhima naomba nipendekeze mabadiliko kwenye tag line yako. Nionavyo mm mgao wa umeme wala si janga la kitaifa ila ni dalili ya janga la kitaifa tulilonalo ambalo ni kukosa rais kulikopelekea kukosekana kwa serikali. Sasa kukosekana kwa serkali huku ndio kumeleta mgao wa umeme, mfumuko wa bei usio na mpango, ukosefu wa maadili, serikali kukosa authority (rejea bei ya sukari), n.k n.k yako mengi sana siwezi kuyamaliza.
 
Nenda sasa EWURA na bei ya mafuta. Wanajaribu kusimamia bei ya mafuta wasiozalisha wala kusambaza. Anyway. Matangazo yao ya bei elekezi kwenye magazeti yanasaidia vyombo hivi vya habari viendelee kuwepo angalau!

Lakini Ndugu Tambua Hii yote Mizigo Tunabeba sisi!! Hakuna Cha EWURA AU CHURA!! HUU NI WIZI MKUBWA TUMEBEBESHWA WATANZANIA, NIAMBIE EWURA WANAPANGA BEI YA UMEME TZS 150 PER UNIT THEN WHAT TO DO FOR THE REST OF THE YEAR? JUST KUTUBEBESHA MIZIGO ISIYOKUWA NA FAIDA,
 
Back
Top Bottom