Kukosekana kwa Sura mpya za Wagombea ubunge CHADEMA kunaashiria kutokubalika

Haupo sensible,
Unajua kabisa wabunge wamekatwa na tume halafu unaongea hivi.
Hii nchi haiwezi kusonga mbele ikiwa wananchi wataendelea kuwa wafia matumbo yao kiasi hiki.
Wabunge wangapi wamekatwa na wangapi wamebaki?
kati ya waliobaki wepi ni ingizo jipya lenye tija?
 
Mwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya.

Mwaka huu sijasikia kamanda mpya anayetajwatajwa kujiunga na Chadema na kugombea ubunge.

Kwa upande wa CCM wapo wagombea wengi wenye influence na ni damu mpya itakayoleta chachu ya majadiliano bungeni.
Wananchi wanaongea
EjFv_zlX0AIYopC.jpg
 
Mwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya.

Mwaka huu sijasikia kamanda mpya anayetajwatajwa kujiunga na Chadema na kugombea ubunge.

Kwa upande wa CCM wapo wagombea wengi wenye influence na ni damu mpya itakayoleta chachu ya majadiliano bungeni.

sasa watasema nn wakati kiongozi wao hata kuchana naywele anashindwa
 
M
Mwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya.

Mwaka huu sijasikia kamanda mpya anayetajwatajwa kujiunga na Chadema na kugombea ubunge.

Kwa upande wa CCM wapo wagombea wengi wenye influence na ni damu mpya itakayoleta chachu ya majadiliano bungeni.
Hamuendi kujadili kitu bungeni Nyie wapuuzi tu.ndo maana mkiambiwa ukweli mnakimbilia TUME YA UCHAGUZI!
LUKUVI NI SURA MPYA?
MWIGULU JE
HATA KAPUYA NAE
GWAJIMA ANAWEZA KUWA CHACHU YA MAJADILIANO GANI YULE?
 
Back
Top Bottom