Uki sahihi.Wale wapambe X CCM wa magufuli waliomuhakikishia kwamba hakuna haja ya kuwa na katiba mpya kwa sasa ... sasa wameujua umuhimu wake.
Tunaodai katiba ya nchi tuna maana kubwa mno zaidi ya haya ma vyama yetu, yaani Rais akibadilika wote mnabadilika useless.
Tuwe na mifumo, misingi anbayo hata Rais akija hawezi kuisugua...haya ndiyo tuyayoyapigania.
Leo hii mijitu inalia Dodoma imeanza kufuta kauli dadadeq