Hahahahaaa Matege Ka....! Ka........acha tu nisiseme!
Aisee kule pahala bomba sana
naomba ufute kauli yako kabla tume haijakushughulikia!
sema tukurudshe milembe
huyu ni wa boarding kabisa mae
huyu ni babu bomba mae.. mshana jr umetokea mnooo
Wee si ulinichomesha mahindi pale kona ya nanihii?