Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Nimekuwa nafuatilia sana vuguvugu la siasa zinavyoendelea mpaka sasa. Nimegundua bila Serikali kufanya kufanya chochote, hata wapinzani hawafanyi chochote.
Inatokea serikali ikitoa tamko fulani tu ndo wapinzani wanakuja na hoja za kuonyesha serikali imekosea.
Mfumo wa siasa wa namna hiyo ni hatari kwa siasa zetu hata kwa upinzani.
Kama wataendelea hivi tutawaona tu mitandaoni kwa kukosa hoja za msingi zinazolenga wananchi.