Kukosa Hisia kwa mkeo phase 2 !!

nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
5,777
4,725
Wana JF,

Natumai vyema mko...
Kuna uzi nilirusha kama wiki 2 zilizopita, sasa huu ni muondelezo, na ndo maana nimeuita phase 2...
Hapa ndo nimetoka maeneo ya mikocheni,,, jamaa mkewe alimvizia jana akiwa mtungi akampiga na chupa kwenye utosi, he lost damu nyingi, na fahamu zimemrudia muda si mrefu, mkewe alipoona soo alipiga mayowe, majirani walipofika, yeye akapotea kakimbilia kwa mamake mdg, anakujua mwenyewe, so majirani ndo wakampeleka hsptl.
Alipozinduka hakujua yuko wapi, baada ya nurse kumweleza alivyofika, ndo akaanza kupata kumbukumbu,, akamuomba nurse simu yake, then he call me,ameikariri my no.. he call me.....nilipopokea kwanza sikuitambua, then i noticed smbody crying,,,hakuongea tena nurse akachukua simu na kujitambulisha, na kunidokeza lililojiri. Faster nikarush hsptl, kweli jamaa kaumia, tena sana, ila wauguzi walinipa moyo,,, hakuna zaidi ya jeraha na damu kdg imepotea...c wajua alikuwa tungi jana.
Kaniomba jambo moja tu, kwanza nifungue file police, i already done,, pili the way they can divorce....hapo nimepata shida kdg wa JF........kaendelea kwa kusema hataki ugomvi na mkewe ambaye ndo anataka kutengana nae, wana 2 kids....na anasema mali zote alizonazo by now ni za watoto,,, japo kwa maelezo yake mkewe hakuchangia hata senti tano,,, na amekuwa akimfanya yeye ni ATM wake, kinga ikiwa ni watoto.
Ameomba tena sana nianzie hapo.. mengine yatafuata...

Wana JF,,, naombeni msaada,, jamaa amekataa kabisa msamaha, 'KATU KATU'..
Hii divorce naanzia wapi,,,..

Ushauri na msaada muhimu sana hapa...
kweli wake zetu watatuua bila kudhania...

nawakilisha....
 
mh na wewe hebu acha umbea lol

mimi nadhani wewe ndo mhusika hapa, yaani watu humu JF hamjiamini kabisa. SI USEME TU WIFE HUMTAKI KISA UMEMCHOKA ?

ANYWAY, KAMA SI WEWE MHUSIKA BASI HAYAKUHUSU HAYO, MAMBO YA DIVORCE WAACHIE WENYEWE LOL
 
Ugomvi wa mke na mume tena wenye ndoa ya halali mara nyingi wewe kaa mbali. Hayo unayoyasema kakuambia uyafanye ungemshauri angoje apone akayafanye yeye mwenyewe. Utakuja adhirika wakipatana!
 
mh na wewe hebu acha umbea lol

mimi nadhani wewe ndo mhusika hapa, yaani watu humu JF hamjiamini kabisa. SI USEME TU WIFE HUMTAKI KISA UMEMCHOKA ?

ANYWAY, KAMA SI WEWE MHUSIKA BASI HAYAKUHUSU HAYO, MAMBO YA DIVORCE WAACHIE WENYEWE LOL

usinihukumu tafadhali,, ndo maana nimeomba ushauri....rite now jamaa yuko hsptl,,, hata mie sipendi waachane kabisa...
 
Ugomvi wa mke na mume tena wenye ndoa ya halali mara nyingi wewe kaa mbali. Hayo unayoyasema kakuambia uyafanye ungemshauri angoje apone akayafanye yeye mwenyewe. Utakuja adhirika wakipatana!

kuripoti polisi haikuwa tatizo, kwa maelezo yake,,, mkewe alisema atahakikisha amumuua.....hapo waionaje bro?
 
Sasa kama jamaa yuko hospitali talaka utatoa wewe? Je wewe ni sehemu ya ndoa hiyo? Kama jibu ni sio UTAINGIAJE? Je unajua chanzo nini, nani kakuambia kuwa ni kuchokana tu na hakuna lingine? Na kwa nini akuombe ushauri wewe?

Kwa kuwa umeomba ushauri YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE. Nenda kashughulike na yako na mkeo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom