Dig the EA
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 279
- 270
- Thread starter
- #21
Hapana! Hiyo siijui I see. Labda tufungulie page zake tuielewe
Mzee unaijua law of diminishing marginal utility?
Mzee unaijua law of diminishing marginal utility?
Chanjo aliyochanjwa..
Kwa nini mkuu, unahisi atapatwa na nini? Kwani vipi?Mwambie hatua anayoelekea siyo nzuri kabisa.
Kapiga chanjo gani mkuu huyo jamaa ?
Taja chanjo aliyochanja it's very important
Kama ni ya corona sema ni jina gani hiyo chanjo inaitwa
Anadai imekuwa tofauti na previous daysSasa anataka apate utamu gani. Wakati utamu kila mmoja anabaki nao individual sio kama pilau wote mkila mtahisi limeungua.
Mwambie atulize bongo huyo afanye mapenzi anapoweza
Huoni kama anapoteza sifa kuu ya uanaume aisee?Kwa nini mkuu, unahisi atapatwa na nini? Kwani vipi?