Kukosa ajira ni fursa tosha

Kategele

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
968
2,230
Katika kipindi cha kukosa kazi (Jobless time) huwa ni wakati mzuri sana wa kufiria mawazo ya kukunasua kiuchumi hivyo vijana tutumieni kipindi hiki kugenerate ideas za kujiajiri.

Usitafute kazi, tafuta matatizo ili uyatatue huwezi kula pesa ya mtu bila kumtatulia tatizo.


Angalia jamii inayokuzungua ina tatizo gani then geuza hilo tatizo kuwa fursa hakika utatoboa.
 
kabla ya kuzungumza haya kwanza ilitakiwa mfumo wa elimu uendane na haya uliyoleta. mtu miaka 10-15+ umemkaririsha akimaliza elimu ni kuajiriwa tu. kuiondoa hiyo fikra iliyokita mizizi miaka 10+ kazi sana
 
Back
Top Bottom