Kukosa ajira kwa wakati kunasababisha vijana kuwapoteza wanawake wa Ndoto zao

Hatari sana hii,hata mimi ilinikuta hii. Mwanamke akabebwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Aliniambia naenda kuolewa, wewe utanipausha tu,daah iliniumaga yaaani, njaa kali mtaani,unachekwana kila mtu, mwanamke wako uliempenda nae anakuacha.
Unabaki mwenyewe unapambana na hali yako.
Mwanaume hapa duniani kama huna pesa ni mateso makali sana.
Hatari sana
Ila naamini kasharudisha majeshi now anatubu tu!
 
Kidume umejitutumua interview hadi oral 3 na zote amna
unavunjika moyo tulizo lipo kwa Babe anakupa makavu dry bila huruma kitaa hali ngumu unashindia Buku siku nzima

Nikajua rafiki wa kweli ni Mama ikabidi nirudi home nikajipange upya

Now ana 29 , simfatilii ila navosikia hali tete
 
Haka kanyimbo kametonesha mshono πŸ₯² pole sana mwamba
Hahaha.!! Asante mkuu Extrovert, ndo hivyo tena humu kweli Jf wadau wanagusa hisia za watu sana, unajikuta unakumbuka vitu vingi na kweli imenifundisha kujua kwenye mahusiano mnaweka malengo mengi wakat mnaanza kumbe hamjui kesho yenu muamzi yupo juu. Aice kukosa kazi kweli na mchongo wa pesa unajikuta uliyempenda kwa dhati anageuka kuwa shemeji.

#PESA KWELI NI SABUNI YA ROHO.
Haka kanyimbo kametonesha mshono πŸ₯² pole sana mwamba
 
Kidume umejitutumua interview hadi oral 3 na zote amna
unavunjika moyo tulizo lipo kwa Babe anakupa makavu dry bila huruma kitaa hali ngumu unashindia Buku siku nzima

Nikajua rafiki wa kweli ni Mama ikabidi nirudi home nikajipange upya

Now ana 29 , simfatilii ila navosikia hali tete
Bado hajaupata utajir alioukimbilia
 
Back
Top Bottom