Kukosa ajira kwa wakati kunasababisha vijana kuwapoteza wanawake wa Ndoto zao

Achana na mambo ya kutafuta mwanamke wa ndoto, wewe tafuta hela.Ukiwa na hela wewe ndio unakua mwanaume wa ndoto za wanawake. Utawakimbia mwenyewe...
Hii imekaa vizuri sana....ushauri mzuri huu...asante
 
Serikali ya ccm ndio furaha yao wakiona kijana anajiua kwa depression...kijana anashindwa kuoa na kuwa na familia kisa tu hajapata ajira ya uhakika..kijana anajiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya kutokana na stress za ugumu wa maisha...VIJANA WENZANGU TUPAMBANE KWA UCHUNGU ILI TUFIKIE MALENGO YETU JAPOKUWA MALENGO TUTAFANIKIWA KUYAPATA TUKIWA TUMECHEREWA.....ADUI YETU NAMBA MOJA NI CCM...
 
Lawama zote Kwa Late John na genge lake la kijani au Sio
Daaaaa hii Kali sana ila naunga mkono hoja!
Anyway

Stress hizi wadau zitatuua wallah!
😂😂😂😂😂
 
Pole Sana bro
I feel your pain ingawa sijaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah..acha kabisa yule binti nilip3nda sana..sema alitaka maisha flani hivi..wahuni wenye magari walikua wanajichukulia huku najipa moyo ipo siku atakua wangu..ila haikuweza..sema nini muda ni mwalimu mzuri..wakiume tusakeni pesa mapenzi bila pesa ni maumivu matupu..

Nw si haba na mke mzuri na life linasonga vzr tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mchawi ni pesa,na kuzaliwa katika ukoo au familia wanaotegemea kusoma kama nyenzo ya kujiinua kiuchumi.
 
Kwanza mpaka hapo huyo hakuwa mwanamke sahihi wa ndoto zake.Mwanamke sahihi wa ndoto yako anatambua hustle za mwenza wake na yupo tayari kuvumilia kufa kupona kuzikana bila kumkimbia.Ukiona kakimbia haijalishi mmetoka naye wapi,Ujue huyo si mwanamke sahihi.
Mkuu hakuna kiumbe anayevumilia shida..inakuta mtoto mkali kila siku anatongozwa na wahuni wenye life na wanaktimizia mahitaji..wakati huo jamaa yake hana hata uwezo wa kumpa hata vocha..hapo tegemea maumivu siku sio nyingi.

Hata wenyew hawapendi sema maisha ndio yanaamua hatima ya mtu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wasalam mabibi na mababu...

Katika utafiti mdogo nilioufanya vijana wengi wa kiume wanaugulia maumivu makali sana ya kuwapoteza wanawake wa ndoto na maisha yao kutokana na kukosa ajira au ata kibarua kwa wakati.

Unakuta kijana alikuwa na msichana wake labda toka shule ya msingi au sekondari wakadumu wee mpaka kufikia wanamaliza chuo kikuu, wakasomana tabia, wengine mpaka wakatambulishana kwa wazazi makwao,.

Inafika wakati kijana wa kiume anajiridhisha kabisa kuwa huyu Binti anamfaa ni wife material kwa future yake, anaona kabisa amekamilika vigezo vya kuwa mwanamke wa ndoto zake wa kufunga pingu za maisha.

Ila mchawi kazi, kijana baada ya kumaliza chuo atataseka mtaani mpaka ajute kuzaliwa, kijana unakuta hapati ata kibarua, hana ata mia mbovu anayoingiza kwa siku, hawezi kumpa ata hela ya vocha bby wake wa maisha,

unakuta huyo msichana aataanza kumtia moyo jamaa koomaa tuu, mm ni wako siwezi kukukimbia wala kukuacha, wewe ndio wa maisha yangu daaah mdogo mdogo bint anaanza kuchooka anafika hatua anazooea maneno ya jamaa akikaa akitafakari anaona huyu hafai kuwa wangu tena, bint anajisemea kimoyomoyo huyu jamaa atanifanya nizeeke bure mtaani, punde c punde anatokea lijamaa lina vyuma vya kutosha linamposa bint anataka kuoa, bint bla hiyana anaona yann kuteseka bhana kumsubiria mtu asieweza kuvumbua ata mia, anajikuta anakubali akaolewe tu.

Zile ndoto zote za kuwa na Mwanamke wa maisha yake zinazikwa hapo kwa kukosa kazi au ata kibarua cha maana, kijana anaambuliwa machungu makubwa ya maisha kwa kumpoteza mwanamke wa first choice ktk maisha yke.

Hivyo kukosa kazi au kibarua kwa wakati kwa vijana wa kiume inapelekea kwa asilimia kubwa kupoteza wanawake wa ndoto za maisha yao.

Vijana wenzangu pambaneni kusaka pesa kwani wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika.
Unazungumzia suala la Mobeto na Rick Ross ama?
 
2pambane kutafuta hela jobless wenzangu Wachuchu wapo wengi ukiwa na pesa
 
Ukimpoteza mwanamke ambaye ndiye Your FIRST CHOICE, panda basi la FIRST CHOICE kupunguza makovu au maumivu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom