Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Hii naamini inawakumba wanandoa wengi,kukoroma. Yaani unakuta mwanaume anakoroma korrooo korrroo yaani mpaka basi.Wenye mauzoefu na kadhia hii hebu twambieni huwa mnai handle vipi kadhia hii? wengine nasikia huama hata vyumba.Jamani hivi kukoroma kuna tiba? maaana..........
 
Hii naamini inawakumba wanandoa wengi,kukoroma. Yaani unakuta mwanaume anakoroma korrooo korrroo yaani mpaka basi.Wenye mauzoefu na kadhia hii hebu twambieni huwa mnai handle vipi kadhia hii? Jamani hivi kukoroma kuna tiba? maaana..........

Bishanga mbona Dr. Riwa ameshwahi kulitolea ufafanuzi jambo hili?
Hebu jaribu kupekua kuna wataalamu kadhaa waliweza kulielezea kwa utaalamu zaidi........
 
Newdown na DRPhone ahsanteni kwa thread,leo ndo mara yangu ya kwanza kuingia jukwaa hili,nashukuru!
 
Hii naamini inawakumba wanandoa wengi,kukoroma. Yaani unakuta mwanaume anakoroma korrooo korrroo yaani mpaka basi.Wenye mauzoefu na kadhia hii hebu twambieni huwa mnai handle vipi kadhia hii? wengine nasikia huama hata vyumba.Jamani hivi kukoroma kuna tiba? maaana..........

Nashukuru sana kaka Bishanga kwa kuanzisha thread hii, it is very useful to me. Tatizo hili limenisumbua kwa miaka mingi sasa toka nikiwa mdogo kiasi kwamba kuna shemeji zako kadhaa wamenikimbia kwa sababu hii.
 
\

Ahsante,nakushauri usome hiyo link hapo juu aliyotoa NewDawntz , ina maelezo mazuri sana sana kwa kweli.
 
Sababu naona umeshapewa nyingi huko juu, tiba rahisi na yenye kuzuia papo kwa papo ni:

Chukuwa pen ya bic or similar, toa mrija wa wino wa ndani, wacha wazi tundo zote za pen, weka hiyo "pen pipe" mdomoni kwa mtu anae koroma, mwache alale nayo kama sigara mdomoni. Njoo unipe jibu kesho.

Akimeza??
 
profesa usicheke bana,hujafa hujaumbika isitoshe who knows labda mmu kuna wakoromaji kibao na hawajui tiba,acha uzi uendelee Mkuu.

hahahahaha........ siyo bure yatakua yamekukuta. utakuta mchuchu anakoroma km mashine y kusaga.
 
Usiwe na shaka Katavi mimi rais wa ma MOD nasema uzi uendelee. Kuna jamaa wanakoroma hata wakati kiwa sebuleni mnaongea. Yaani akipitiwa usingizi kidogo tu mashine inaanza kazi.

Haya prezidaa w jeiefu. kw heshima yako uzi uendelee ...... cyo sebuleni 2 ht kwnye madaladala!! posta to kimara m2 anaungurumisha mbhaaya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom