Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.

Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake.

Usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.
Weka picha mkuu
 
Kuogelea kwenye ma swimming ni kuleteana magonjwa na kulishana vinyesi tu , japo wanasema wanatibu maji lakini hapata siamini , bora nikaogelee baharii kuliko swimming , mpango wa swimming unafaa uwe ndani ki familia zaidi tu basi walishane vinyesi wenyewe
 
sijawai kuogelea kweny swimming na sijawai fikria kuogelea humo kwasababu maji hayatembei utakuta wengn maji hawabadilishi ni dawa tu sas mwingn anamaukoko matakon mwingn anakunya humo hajachamba vizur utapiga mbizi ukiibuka mdomo upo waz ushakula ukoko wa mwajuma wa buza kudadeq
 
Aisee hata Mimi nikifikiriaga ayo nashindwa kabisa,, mwingine anaenda toilet, kuchamba anakuja kuchambia kwenye swimming pool kimtindo
 
sijawai kuogelea kweny swimming na sijawai fikria kuogelea humo kwasababu maji hayatembei utakuta wengn maji hawabadilishi ni dawa tu sas mwingn anamaukoko matakon mwingn anakunya humo hajachamba vizur utapiga mbizi ukiibuka mdomo upo waz ushakula ukoko wa mwajuma wa buza kudadeq
au kama sisi mtu umefanya sex na mmeo asubuhi na sperms hazikutoka zote, sasa ukiwa unaogelea zinaendelea kutoka, daah.
 
Ahsante kwa kuwa muwazi mkuu😄😄😄 mi pia nikazie ktk hilo hakuna ambae hajawai kukojoa kweny bwawa la kuogelea.
mkionaga pisi kali ndio mnakoja ili wanywe mikojo yenu, haya bhana, watu wa CHATO wanasema hakuna ambaye "hajawahi ku-puu ziwani"
 
kitu ya wali maarage

Poo-Swimming-Pool.jpg
 
Najua hii tabia wanayo binadamu wengi unakuta mnaogelea katika pool mtu anabanwa mkojo badala aende toilet anaamua kumalizia shida zake humohumo ndani.

Mwingine ndo shenzi wahed anakunya kabisa. Unaweza ukashangaa kinyesi kinapanda juu ya maji. Aisee kweli nimeamini kila mtu ana upumbavu wake.

Usichoweza kukifanya wewe mwingine anakifanya and vise versa is true.
Hakuna kilicho kizuri kwa Mwafrika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom