nkosiyamakosini
Member
- Nov 4, 2010
- 83
- 2
Morning wadau,
sote tulishuhudia mh. shibuda kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa pinda na kupata laga za mh. rais kikwete jioni.
akizungumzia uhalisia wa kuwabwaga chadema, shibuda alisema yeye ni mbunge wa wananchi wa maswa na kaenda shughulini kama mbunge sio chadema, isitoshe anatanguliza utaifa kwanza!
hili linanichanganya kuona nani anabusara zaidi? probably chadema, most probably shibuda? thanks