Kukejeliwa kwa bajet ya CDM na na wabunge wa ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukejeliwa kwa bajet ya CDM na na wabunge wa ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Lupa, Jun 19, 2012.

 1. M

  Mzee Lupa Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Katika kikao cha leo bungen wabunge wa ccm wameonekana kukejel sana bajet ya CDM, kwa madai eti inaonyesha
  Mapato toka TRA ni 0 na mapato mengine ni ya ndan ni 0...swal langu kwenu wanacdm je ...hiyo ni typing error ..au ni hujuma? na kama ni typing error kwa nn hawakuiona?..mpaka wamegawa vitabu hvyo kwa wabunge...?
   
 2. m

  mwongozo Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbunge wa ccm amesoma na kunukuu bajeti kivuli ya chdm. hadi ameita bajeti giza! chdm eleweni kuwa uaongozi ni mgumu. ukiwa nje unaona mambo mepesi.
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Take it positively Kama CCM wanajadili budget ya Chadema manake na wao wamejiweka kwenye nafasi ya upinzani hilo linaipaisha chadema ,manake wanaonekana nao wana budget yao inayojadiliwa
   
 4. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binafsi nawaonea huruma sana wanachi wanaoongozwa na wabunge kutoka thithiem kutwa kupiga makofi na vigelegele. Heri mie mbunge wangu ametolewa nje
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  How is it possible?
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Hiyo bajeti kwa hila au kwa shari lazima ipite...so tunategemea kuona viroja viroja hapa na pale.
   
 7. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  wanatakiwa wajadili iliyosomwa, au iliyoandikwa na kuambatanishwa na jinsi inavyotakiwa kusomeka
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wabunge wa CCM wanaonekana kuikubali tuition ya Mwigulu. Wamesahau just how bad budget ya serikali ilivyo na badala yake wanaponda speech ya Zitto. And before too long watajikuta wamepitisha hii budget kama ilivyo au with negligible ammendments - itakula kwao.
   
 9. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Lakini wajameni hebu tujiulize: Nchi hii kuna kitu kinaitwa bajeti? ; Kama wilaya imepanga kutumia 2bn, kama bajeti yao, serikali ikawapa 300m, kuna kitu kitafanyika hapo? Kuna haja gani ya wabunge kutumia pesa nyingi kujadili kitu hewa?
   
 10. K

  Kiyama New Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa jamani hivi ni kweli?
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Nilishangaa sana kuona mbunge badala ya kujadili hoja ya serikali, yaani budget ya wizara ya fedha, wao wanakuwa busy kujibu hoja ya budget kivuli!!!! Na waziri au msemaji wa serikali ajibu nini kama wabunge wa SISIMWEWE washajibu?
   
 12. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wakimaliza kujadili bajeti ya CDM, muda wa kujadili bajeti ya serikali utakuwa umeisha watapinga kura za sauti, "wanaoafiki waseme ndiooooo", then wanapeleka maumivu kwa wananchi. I appreciate CHADEMA so much, and I congratulet them for very best strategies. CDM is a very strategic party in the political game. In order to win any mission you have to use SWOT analysis (use your Strength optimistically, overcome your weaknesses by errasing them to the least possible level, maximise the use of every available Opportunity, prepare for removing Threat). The world class successful managers/ leaders lives and work tall by using this universal principal.
  Strength ya CHADEMA (Wanachama na viongozi makini)
  Weakness (Migogoro inayotokana na mpishano wa hoja)
  Opportnity (Kukubalika katika jamii)
  Threat (Vyama vingine vya siasa ikiwamo CCM).
  Iwapo CCM ni threat kwa CDM nini basi uongozi makini unatakiwa kufanya, ni kuidhoofisha kwa kadiri inavyowezekana na kuifanya ionekane si lolote mbele ya wananchi (Last past 5 years walitumia ufisadi kama silaha namba moja, matunda yameonakana, mwaka jana wametumia silaha mbili Katiba mpya na bajeti mbovu, wananchi wameamini kwamba CDM ndio chama kinachowapigania, hivyo oparesheni M4C imefanikiwa sana mwaka huu).
  Kwakuwa wanafahamu udhaifu wa mshindani wao, na wao kudhamiria kwa dhati kabisa kuingia ikulu, mpango wao wa mwaka huu ni kuidhoofisha kabisa CCM, ishindwe kujadili hoja muhimu na kurekebisha makosa badala yake wajadili bajeti ya CDM (ugonjwa mkubwa wa wabunge wa CCM), wapeleke bajeti itakayozidisha machungu ya maisha kwa wananchi (kosa kama hili pia walilifanya wakati wa mchakato wa katiba), ifikapo 2015 watakuwa na turufu za kutosha kuwang'oa madarakani ("ADUI MWOMBEE NJAA"). Sasa Mwigulu and company, endeleeni kuwajadili CDM, wenzenu wanajiuza kwa jamii (Publicity), nyie endeleeni kuimba taarab!!!
   
 13. a

  andrews JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1 CD YA UKABILA
  2 CD YA UDINI
  3 CD YA UKANDA
  KWA KUWA WATANZANIA WENGI NI WAELEWA CCM IMEANGUKIA PABAYA KWA KUKOSA WANUNUZI WARNING:SASA CCM INAWATUMIA UAMSHO KUWAGAWA WATANZANIA BILA KUJUA WAZANZIBARI WAMEINGIZWA MJINI HIYO NI HUJUMA YA CCM KUOGOPA MABADILIKO YANAYOKUJA 2015 THE ONLY WAY NI KUWAGAWA WATANZANIA KWA KUWATUMIA AKINA SHEIKH MPONDA NA WAJINGA WENZAKE
  :bump:
   
Loading...