Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,463
- 113,518
- Thread starter
- #221
Mkuu, Mkandara, acha hizo, kama umesoma kemia unaelewa kitu kinachoitwa catalyst, kinahitajika ku speed up the chemical reaction na sio part ya required end products, siku zote nawasisitiza watu humu, tuwe wakeli toka ndani ya nafsi zetu, Prof. Lipumba au Dr. Slaa, hakuna anayemuweza Magufuli, in fact hata Lowass as Lowassa, hamuwezi Magufuli, bali Lowassa na the people behind him, akihamia UKAWA, na akawa ndie mgombea wa UKAWA, CCM inapigwa chini kama kumsukuma mlevi!.Kifupi, Lowassa ni mtu mwenye KASHFA nzito nzito za uongozi ambazo anatakiwa kusimamishwa na hata kushtakiwa. Mbali na hilo ni mtu anayetaka uongozi by any means necessary! Kiongozi huchaguliwa na watu sio haki ya mtu. Hatakiwi mtu wa aina hii kupewa uongozi atakuwa na kisasi, ni wa kuogopwa kama Ukoma!..Mimi nilikuwa mwanachama wa CCM toka mwaka 1973, ni watu kama yeye waloniondoa imani na chama hicho...
Kama kuna nia ya dhati ya upinzani kuingia ikulu, Lowassa is the mean and the way!, na pia ili litimie lile neno la Mwalimu, upinzani wa kweli, utatoka CCM!, tena kama ni kweli Lowassa ata cross, hata watu kama sisi, ambao sikuzote tumekuwa hatuna vyama, tuta reconsider our stands kuisaidia Chadema kuipiga chini CCM!, tena hili likitokea, hata hao CUF wakileta zile zao za kuleta, kulazimisha mgombea wa UKAWA lazima awe yule mgombea wao wa kudumu kwenye urais wa muungano, ni kuachana nao, wakwende zao, Mwamba wa Kaskazini, ukitinga Chadema, Chadema inachukua nchi asubuhi na mapema!, hata mimi nitatafuta jimbo!.
Kwenye vita, ili uweze kushinda vita, sometimes unaweza hata kulazimika ku join forces na adui yako against a common enemy, kisha mta sort out diferences zenu, baada ya ushindi!.
Tena jamaa akikross, tutailazimisha Chadema kuitagrate na ACT ndani ya UKAWA, au kwa tutamshinikiza ZZK na ACT yake wa bow down, au Chadema itoe msamaha wa bila masharti, ZZK ai disband ACT na kuirudisha ndani ya Chadema, with a united front ya opposition, hili dubwana CCM, linakwenda chini jumla!.
Pasco