Elections 2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

End game.Sioni EL kama ataenda kinyume na CCM.Lakini bila Lowassa kwenye headline Jamii forum itapwaya Lowassa alikuwa mtaji kwenye press.Usishangae wazushi wakazidi kumsakama kana kwamba yeye ndio kikwazo cha maendeleo ya Taifa letu japo aliachia uwaziri mkuu miaka 8 iliopita.
 
Pasco

Najiuliza;
Yaliyotokea Kenya yanaweza kutokea Tanzania?
Daniel arp Moi alimpiga panga Makamu wake, Emilio Mwai Kibaki, akamteua Uhuru Kenyatta.
Mwai Kibaki akajiuliza; kulikoni?
Akajiengua KANU, akawaachia Moi na Kenyatta chama chao..
Akaunganisha nguvu na wapinzani,na wakawashinda Rais Moi, Kenyatta na KANU kwenye sanduku la kura.
Hali hiyo yaweza kuja Tanzania?
Edward Ngoyai Lowassa aungane na UKAWA kuiangusha CCM?
HAKIKA, UTABIRI WA BABA WA TAIFA UTAKUWA UMETIMIA
 
Last edited by a moderator:
Nyerere aliwahi kusema ni heri mbuzi kuwa mgombea wa CCM kuliko mkristo kuwa raisi wa Tanzania, hii imetimia. Majina yote 5 yaliyo chaguliwa CCM ni uislam mtupu. Tumechoshwa ni team uislam ndani ya CCM, mahamuzi magumu yanaitajika sasa.
 
Tumetumia gharama kubwa sana kwa takribani miaka mitano tukiwa tumewekeza kwenye mbio za urais. Watu wengi wamefaidi pesa zetu kwa njia mbali mbali kama za safari kutuomba tugombee, nauli, posh, vipeperushi, tshirts, magari na posho kwa timu yetu. Sasa tumekatwa huku tukiwa tumepoteza mabilioni yetu. Tutarudishaje hayo mapesa yetu? Tunaomba basi kila aliyepata mgao arudishe basi angalau nusu ya walichopewa tupunguze hasara. Tunawaombeni jamani maana tuko katika msiba mzito hata matanga yake hayajulikani yatakwisha lini! Tunaomba maombi yenu katika kipindi hiki kigumu
 
Mimi nadhani huu ni mwanzo wa mwisho wa safari yake ya matumaini.

Kama ni kuanza safari nadhani ataanza safari ya wasi wasi kwa sababu kwa sasa haifahamu njia anayoelekea!

Nilimsikia akisema yeye tokea alipoufahamu ulimwengu, anaijua CCM pekee!

Nilimsikia pia akisema kama kuna watu wanadhani atatoka CCM, basi wafahamu watatoka wao na watamwacha CCM.

Mimi nadhani hana hata hizo mboga tunazodhani anazo kwa sababu hata yeye amebeba ugali ambao CCM imeumwaga!
 
Wapinzani ntawadharau na pasina shaka hata watanzania wengi watawadharau kama wakimpokea Lowassa!

Wameimba nchi nzima kwa miaka chungu nzima kwamba EL ni fisadi eti leo wampokee na kumpa nafasi ya juu kabisa ya kugombea urais!!!

Walioimba ufisadi wa Lowassa ni CCM.
Mara kuvua gamba, n.k.

Sikumbuki popote Wapinzani walipomtaja Lowassa kuwa ni fisadi.
Ufisadi ndani ya Chama cha Mapinduzi ni MFUMO RASMI.
UKAWA wasipompokea Lowassa, maana yake ni kwamba hawataki kuuondoa madarakani mfumo wa ufisadi.
Tatizo letu ni mfumo, siyo watu au majina ya watu.
Kama kweli Ukawa wanaitakia mema nchi yetu, basi naamini wako kwenye kikao na Lowassa hivi sasa.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Umeona ukawa ndio wa kukaribisha wezi? Labda aende kile chama cha zambarau au chama kingine nje ya ukawa

Wapinzani ntawadharau na pasina shaka hata watanzania wengi watawadharau kama wakimpokea Lowassa!

Wameimba nchi nzima kwa miaka chungu nzima kwamba EL ni fisadi eti leo wampokee na kumpa nafasi ya juu kabisa ya kugombea urais!!!
iukisema wapinzani, jua kuwa lowasa hawezi kuhamia CHADEMA, CUF, NCCR bali atachagua vyama vile ambavyo huwa vinaunga mkono ccm kama TLP, PPT MAENDELEO, TADEA, UDP YA CHEYO nk. hawezi kutia mguu vyama bora, anaenda kwa salvages.
 
Kikwete hatukukutana barabarani kwi kwi kwi kwi nikuachie 2005 halafu utanipigia debe 2015 kwi kwi kwi kwi
 
Pasco

tatizo sio lowasa shida ni wale walioko nyuma yake yaani wapambe wake kama ngosha pasco.tunawaogopa sana nyinyi mliopo nyuma yake.how comes mwanachama mmoja awe na sauti na mamlaka kuliko chama chenyewe? Ifike mahali watu wawe wana subiria taratibu za kichama zinafuatwa kwanza ndo unaanza kampeni zako.
Pole
 
Last edited by a moderator:
Umeona ukawa ndio wa kukaribisha wezi? Labda aende kile chama cha zambarau au chama kingine nje ya ukawa

Nyerere aliwahi kusema ni heri mbuzi kuwa mgombea wa CCM kuliko mkristo kuwa raisi wa Tanzania, hii imetimia. Majina yote 5 yaliyo chaguliwa CCM ni uislam mtupu. Tumechoshwa ni team uislam ndani ya CCM, mahamuzi magumu yanaitajika sasa.
membe ni muislam, magufuli ni muislam?
 
Nyerere aliwahi kusema ni heri mbuzi kuwa mgombea wa CCM kuliko mkristo kuwa raisi wa Tanzania, hii imetimia. Majina yote 5 yaliyo chaguliwa CCM ni uislam mtupu. Tumechoshwa ni team uislam ndani ya CCM, mahamuzi magumu yanaitajika sasa.

Mbona kama unaongea kinyume chake!
 
Back
Top Bottom