Kukatwa kwa Lowassa, Mtego kwa Zitto na Serukamba

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Wadau,

Kama mjuavyo Bwana Edward Ngoyai Lowassa, mmojawapo ya watia nia walioonekana kuupania Urais kwa hali na mali kiasi cha kuingia gharama kubwa kuliko wengine wenzake wote kwa ujumla wao ameondolewa kwenye mchujo wa tano bora.

Kuondolewa huko kunafanya maelfu kwa malaki ya wapenzi wake waliokua na "matumaini yasiyo na uhakika" kubaki njia panda kisiasa. Wengi walitegemea angepata na ndio angekua mgombea wa CCM, wapo waliofikia kupanga kabisa Baraza la Mawaziri mpaka wakuu wa Mikoa na Wilaya wa serikali yake ijayo ya matumaini.

Wakati Lowassa akiwa Kigoma kusaka wadhamini aliwatolea "siri" moja kua amemchagua mbunge wao Bw. Peter Serukamba kua msaidizi wake muhimu katika mbio zake za Urais hivyo kutokana na majukumu yake mapya hatogombea tena ubunge jimbo hilo. Hili lilifanyika sambamba na aliekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini Bw. Zitto Zuberi Kabwe kutangaza kuhamia jimbo la Serukamba.

Sasa basi, Lowassa ndio kaishia hapa, Serukamba atarudi Jimbo lake ambalo mwanzo alimuachia Zitto, je na Zitto nae atakubali kurudi alikokua mwanzo? Na kama akirudi atawaambia nini wananchi ambao mwanzo aliwakimbia? Watamuelewa kua kumbe alifanya makubaliano na chama tawala? Na kama akiamua kung'ang'ania kuendelea kubaki Kigoma Mjini kwa Serukamba, je serukamba nae ataenda wapi? Au ataamua kumeza matapishi yake na kugombea?

Ni mtego nauona.
 
Ndg EL pia alisha wahi kusema huko katika mikutano yake "Wasiponichagua kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM basi atapitia hata kwenye Dirisha"

Hebu tutizame hii kauli yake alikuwa anamaanisha nini. Kuwa atalazimisha hata kupitia bila maamuzi yalio pitishwa kwafununu na kauli za Nchimbi walivyosemaaaa au?

Atahamia chama kingine? Au Tuseme kushindwa kwa CCM ni kupasuka kwa CCM wenyewe kwa wenyewe? ili aweze kugawa wana CCM ili waingie kwa dirishani?

Labda kwa Ubia uliozaa makubaliano Kati ya El, Zitto na Serukamba na kauli yake hapo juu ni wazi anaweza kwenda ACT.
 
Last edited by a moderator:

Ndg EL pia alisha wahi kusema huko katika mikutano yake "Wasiponichagua kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM basi atapitia hata kwenye Dirisha"

Hebu tutizame hii kauli yake alikuwa anamaanisha nini. Kuwa atalazimisha hata kupitia bila maamuzi yalio pitishwa kwafununu na kauli za Nchimbi walivyosemaaaa au?

Atahamia chama kingine? Au Tuseme kushindwa kwa CCM ni kupasuka kwa CCM wenyewe kwa wenyewe? ili aweze kugawa wana CCM ili waingie kwa dirishani?

Lowassa amesema mpaka sasa hajayajua matokeo ya top 5 akishayapata atasema msiwe na wasiwasi.
 
Ndg EL pia alisha wahi kusema huko katika mikutano yake "Wasiponichagua kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM basi atapitia hata kwenye Dirisha"

Hebu tutizame hii kauli yake alikuwa anamaanisha nini. Kuwa atalazimisha hata kupitia bila maamuzi yalio pitishwa kwafununu na kauli za Nchimbi walivyosemaaaa au?

Atahamia chama kingine? Au Tuseme kushindwa kwa CCM ni kupasuka kwa CCM wenyewe kwa wenyewe? ili aweze kugawa wana CCM ili waingie kwa dirishani?

unnamed%2B%25287%2529.jpg
 
Yeye mzee wetu hajajua matokeo lakini viongozi wetu wa 4U movement tayari wametutangazia tuondoke turudi makwetu. Sherehe yetu imesitishwa
 
Lowassa aachane na siasa.

Mabadiliko ya safari

Safari ya Matumaini
Safari ya Matumain
Safari ya Matumai
Safari ya Matuma
Safari ya Matum
Safari ya Matu
Safari ya Mat
Safari ya Ma
Safari ya M
Safari ya Mo
Safari ya Mon
Safari ya Mond
Safari ya Mondu
Safari ya Mondul
Safari ya Monduli

😂😂😂😂😂😂
 
Kwi kwi kwi kwi Safari ya Mat... Ooops! safari ya Monduli sasa imetimia.

Mabadiliko ya safari

Safari ya Matumaini
Safari ya Matumain
Safari ya Matumai
Safari ya Matuma
Safari ya Matum
Safari ya Matu
Safari ya Mat
Safari ya Ma
Safari ya M
Safari ya Mo
Safari ya Mon
Safari ya Mond
Safari ya Mondu
Safari ya Mondul
Safari ya Monduli


 
Hii kali! alikata tiketi ya meli kwenda Monduli?

Mabadiliko ya safari

Safari ya Matumaini
Safari ya Matumain
Safari ya Matumai
Safari ya Matuma
Safari ya Matum
Safari ya Matu
Safari ya Mat
Safari ya Ma
Safari ya M
Safari ya Mo
Safari ya Mon
Safari ya Mond
Safari ya Mondu
Safari ya Mondul
Safari ya Monduli


 
Mabadiliko ya safari

Safari ya Matumaini
Safari ya Matumain
Safari ya Matumai
Safari ya Matuma
Safari ya Matum
Safari ya Matu
Safari ya Mat
Safari ya Ma
Safari ya M
Safari ya Mo
Safari ya Mon
Safari ya Mond
Safari ya Mondu
Safari ya Mondul
Safari ya Monduli

😂😂😂😂😂😂

Sasa nyie ndio mnamtia hasira sana namna hii! Utani gani huu!!
 
Wadau,

Kama mjuavyo Bwana Edward Ngoyai Lowassa, mmojawapo ya watia nia walioonekana kuupania Urais kwa hali na mali kiasi cha kuingia gharama kubwa kuliko wengine wenzake wote kwa ujumla wao ameondolewa kwenye mchujo wa tano bora.

Kuondolewa huko kunafanya maelfu kwa malaki ya wapenzi wake waliokua na "matumaini yasiyo na uhakika" kubaki njia panda kisiasa. Wengi walitegemea angepata na ndio angekua mgombea wa CCM, wapo waliofikia kupanga kabisa Baraza la Mawaziri mpaka wakuu wa Mikoa na Wilaya wa serikali yake ijayo ya matumaini.

Wakati Lowassa akiwa Kigoma kusaka wadhamini aliwatolea "siri" moja kua amemchagua mbunge wao Bw. Peter Serukamba kua msaidizi wake muhimu katika mbio zake za Urais hivyo kutokana na majukumu yake mapya hatogombea tena ubunge jimbo hilo. Hili lilifanyika sambamba na aliekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini Bw. Zitto Zuberi Kabwe kutangaza kuhamia jimbo la Serukamba.

Sasa basi, Lowassa ndio kaishia hapa, Serukamba atarudi Jimbo lake ambalo mwanzo alimuachia Zitto, je na Zitto nae atakubali kurudi alikokua mwanzo? Na kama akirudi atawaambia nini wananchi ambao mwanzo aliwakimbia? Watamuelewa kua kumbe alifanya makubaliano na chama tawala? Na kama akiamua kung'ang'ania kuendelea kubaki Kigoma Mjini kwa Serukamba, je serukamba nae ataenda wapi? Au ataamua kumeza matapishi yake na kugombea?

Ni mtego nauona.

sasa nini hujaelewa selukamna atakuwa msaidizi wa lowasa kwenye mbio za urais kupitia act ambako yuko zitto na ambako ataenda kugombea lowasa
 
Back
Top Bottom