Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,210
- 12,913
Leo niwaambie tu TANESCO, kuna maeneo kama ya Kariakoo ambako kuna mzunguko mkubwa sana wa kifedha ambao unaliingizia mapato taifa kwa kiasi kikubwa alafu mkawa mnakata umeme hivi ni uzembe wa hali ya juu sana.
Nina hakika hata nyinyi wenyewe kwa eneo la pamoja Tanesco mnapata pesa ndefu kariakoo nashangaa bado mmelala kwenye kuboresha miundombinhu ya umeme eneo hili kiasi mnaleta kero za kukatika umeme na mwisho wa siku shughuli za uzalishaji zinasimama.
Tanesco ni wazembe wakubwa.
TANESCO