Kukataliwa kwa mswada wa marekebisho ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukataliwa kwa mswada wa marekebisho ya katiba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by libent, Nov 23, 2011.

 1. libent

  libent JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wadau naomba kujua ni matokeo gani au athari zipi zinaweza kutokea pale raisi atakapokataa kutia sahii kwenye mswada wa marekebisho ya katiba mpya
   
 2. P

  Panda Kapesi JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Kuvunjwam bunge nafikiri...back to the drawing board!
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kurudishwa tena bungeni kwa marekebisho nadhani.
   
Loading...