Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,863
- 5,694
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na habari za kukatiwa umeme taasisi za umma mbali mbali hapa nchini. Jambo hili tunaweza kuzani kuwa ni jema na kuwapongeza Tanesco lakini ukiliangalia kwa muono wa mbali ni la hatari Kwa taifa
Kwamujibu Wa takwimu zilizopo mpaka sasa ni kuwa serikali haijaweza kutoa pesa Kwa wizara zake kufikia hata asilimia 40 tuu ya fedha zilizoizinishwa Kwa mwaka Jana.
Sasa tunapo zikatia umeme taasisi nyeti kabisa ktk jamii amabzo zinatakiwa kutoa huduma tunatenda haki kweli Kwa jamii husika?
Leo vituo vya polisi vinakatiwa umeme, hivi vikivamiwa na majangiri usiku na kuhatarisha hali ya Amani kwa RAIA tutasema ni jambo la bahati mbaya?
Mimi nazani serikali ije na wazo jipya sasa iseme kuwa taasisi zake zote zisidaiwe kodi ili kuto athiri huduma ktk taasisi hizo.