Kukata Oxygen supply wakati wa kilele cha ngono huongeza "mshindo" na hata kifo pia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukata Oxygen supply wakati wa kilele cha ngono huongeza "mshindo" na hata kifo pia

Discussion in 'JF Doctor' started by Hofstede, Dec 14, 2009.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Autoerotic Asphyxiation au Choking game

  [​IMG]

  Kumekuwa na mchezo wa kuongeza ukubwa wa kilele cha mapenzi ambao ni hatari sana kwa maisha. Inasemekana mchezo huu huenda ni matokeo ya wanaume kunyongwa kwa kamba ambapo observers wanasema wengi wao manhoods zao husimama na wakati mwingine hata kutoa mbegu kabla ya kifo kuwapata.

  Hali hii inasemekana inasababishwa na kuzuiwa kwa hewa ya Oxygen kufikia ubongo. mchezo huu umechukuliwa kama njia mbadala na baadhi ya watu ya kuongeza "high" during orgasm. Madhara yake makubwa ni kuwa mara nyingi husababisha vifo kwa watumiaji. Swali langu ni je kuna uhusiano gani kati ka kufanya ubongo ukose oxygen na kuongeza mshindo wa ngono?

  Soma zaidi hapa http://abcnews.go.com/Health/MindMoodNews/autoerotic-asphyxiation-threaten-kids-thought/story?id=8803050
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Shetani anafanya kazi kuliko dunia inavyojizungusha katika muhimili wake.
   
 3. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Tawire mkuu, bange na mapepo vimetawala!
   
Loading...