Jamani wazima nyie hii mada nimeona sehemu mbalimbali ikizungumzwa ila kwa sahivi tunaomba wanaume mtupe ya uvunguni yenu hivi unajisikiaje au unafeel vipi mkeo/demu wako akikata kiuno kwenye sita kwa sita au wewe binafsi nini mapendekezo yako katika hilo..
Maana tumeshuhudia mahusiano mengi yakivunjika kisa mwanamke hajui kukata kiuno...
Please wanaume tunaomba funguke maana hili limekuwa kama janga la mahusiano mengi!!
Maana tumeshuhudia mahusiano mengi yakivunjika kisa mwanamke hajui kukata kiuno...
Please wanaume tunaomba funguke maana hili limekuwa kama janga la mahusiano mengi!!