Mwakikusi
Member
- Jan 14, 2014
- 98
- 22
Ndugu wana jumuiya wa chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na wadau wote wanaohusika,kumekuwa na habari ya upotoshaji iliyotolewa na mtu anayeitwa Abdul Omary Nondo kwamba chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kimenyang'anya haki za wanafunzi, habari hizo si ZA KWELI kwa sababu Abdul Nondo siyo mwanafunzi wa hapa chuoni kwetu na pia siyo msemaji wa chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kwa maana hiyo hahusiki na lolote kwa lolote na hatambuliki chuoni ni MPOTOSHAJI TU.Masuala yote aliyoyaongea yana ufumbuzi wake na wahusika walishaambiwa namna na kwa sababu gani imetakiwa iwe kwa mujibu wa changamoto walizozipata hao wanafunzi na SI VILE ALIVYOANDIKA ANAYEJIITA ABDUL NONDO,na mengi yaliyojadiliwa ni kwa sababu na kwa faida ya wanafunzi husika ili vyeti vyao viwe salama (authentic) hakuna yeyote aliyeliongea au kujadili kwa minajili ya kuwaharibia maisha ya kitaaluma ya wanafunzi husika. *HIVYO HABARI HIZO NI UONGO NA UZUSHI NA KWA WAHUSIKA WANAOHUSIKA WAMESHAPEWA SABABU INDIVIDUALLY HATA HUYO NONDO HAKUWEPO NA HAJUI LOLOTE* NA TUNAMTAKA AACHE MARA MOJA KUFUATILIA NA KUANDIKA HABARI AMBAZO HAZIFAHAMU NA HAHUSIKI NAZO,TAASISI YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE HAIJAANZA NA HATUPO TAYARI KUSINGIZIWA VITU AU MAMBO AMBAYO YATAZOROTESHA USTAWI WA CHUO CHETU.TUPO IMARA HATUTATIKISIKA WALA KUYUMBA.
*HIVYO HABARI YOYOTE YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MSEMAJI MKUU KWA UPANDE WA UTAWALA WA CHUO NI MKUU WA CHUO PEKEE NA KWA UPANDE WA SERIKALI YA WANAFUNZI NI RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI (MASO) NA SI VINGINEVYO PIA APUUZWE KABISA MTU AWAYE YEYOTE AMBAYE KWA MATAKWA YAKE BINAFSI AU KIKUNDI ANATAMANI AU KUHITAJI KUHARIBU USTAWI WA CHUO CHETU*
TUNASIMAMIA UONGOZI,MAADILI NA UTAWALA BORA KILA KITU/MTU ATAFUATA UTARATIBU HUSIKA NA UKIWA NA LOLOTE ULIZA WAHUSIKA AU TEMBELEA www.mnma.ac.tz kwa mawasiliano zaidi na siyo akina ABDUL NONDO.
RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE(MASO).
2018/2019
Sent using Jamii Forums mobile app