Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Kuna Taarifa inayosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii yenye kichwa cha habari *"CHADEMA ARUSHA HATUWEZI KUBURUZWA NA MKURUGENZI WA JIJI"* ya mnamo tarehe 30.05.2017, kwa taarifa hii nakanusha kwamba taarifa hiyo haijatolewa na CHADEMA Kanda ya Kaskazini wala haihusiani na Ofisi yeyote ya CHADEMA.
Hivyo basi kwa taarifa hii nakanusha taarifa hiyo na maudhui yake ni batili, aidha tunawataka wananchi na wanachama wote waipuuze.
Imetolewa na;
Mozec Joseph
Afisa Habari CHADEMA Kanda ya Kaskazini.
01.06.2017