Kukamatwa kwa Zitto: Amnesty International waijia juu Polisi

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Wameitaka imfikishe mahakamani haraka au imwachie huru bila masharti kuliko kuendelea kumshikilia bila maelezo ya msingi.

Capture.PNG
 
Hao ni "toothless dogs"
Siku ukikamatwa bila hatia utakumbuka mashirika kama haya yanayojaribu angalau kutetea watu. Ukishikwa na polisi unatakiwa uambiwe kosa na upewe evidence la si hivyo kiongozi yoyote akikuchukia atakua anakuweka ndani tu anavyojisikia alafu unaachiwa mwisho wa siku huna pa kulalamika.

Shukuru sana uwepo wa mashirika kama haya
 
Mbunge anakamatwa kwa kutoa taarifa za mauwaji mkoani kwake ambayo kweli yameripotiwa na RPC wa huko akakili ila kwa tofauti ya idadi, je raia wa kawaida?!

Je mtu akajitokeza akasema ama kuwataja watu wanaosadikika kumshambulia Lissu?! Hatofungwa na ukoo wake mzima?!
 
Wasiwe na mzuka - kule anahojiwa kisha hatua zitafuata - na ikithibitika hana hatia mahakama zipo kwa kazi hiyo zitamwachia
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom