Kukamatwa kwa wacheza judo JKNIA

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
kutoka gazeti HABARILEO kuna taarifa ya kukamatwa na kuzuiwa kusafiri kwa timu Ya wacheza judo, nimeshindwa kuelewa sababu
 
Attachments

  • Screenshot_2017-11-06-10-14-55.png
    Screenshot_2017-11-06-10-14-55.png
    41.4 KB · Views: 65
Mkuu kuna shida gani kama ungenunua, kusoma na kutuletea habari kamili?
 
Kumbe picha inaonyesha walitaka kuondoka nchini kinyemela sasa waulizani tena?
 
kutoka gazeti HABARILEO kuna taarifa ya kukamatwa na kuzuiwa kusafiri kwa timu Ya wacheza judo, nimeshindwa kuelewa sababu
Umeshindwa kuelewa sababu na hali hapo inaonesha walikuwa wanaondoka kinyemela!!!!
screenshot_2017-11-06-10-14-55-png.625389
 
Vyama vya michezo vinazingua, watu wanapiga michongo wanapata conncetions zao wakajiendeleze huko wanakamatwa.
Vyama vingi vya michezo kazi kupiga ela tu na kuua vipaji
 
Kumbe picha inaonyesha walitaka kuondoka nchini kinyemela sasa waulizani tena?
nini maana ya "kinyemela"?, kama mtu ametafuta mechi na kupata mwaliko, wewe unasababu gani Ya kumzuia?
 
Back
Top Bottom