Kukamatwa kwa Sugu Mbeya; Mwendelezo wa mikenge waliyoingia CHADEMA 2010...

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
Amenishangaza sana huyu mbunge, ambaye kimsingi wana-Mbeya walitaraji kwamba atakua mkombozi wao....sasa mambo ya ugomvi wa mademu, Clouds FM, Fiesta anapeleka kwa wananchi!!!? Matatizo ya msingi ni hayo? Kwenye kampeni alikua kila siku anapiga kelele kwamba eti akiingia atauza gari la mkuu wa mkoa, kanunua zuri kuliko hilo....kakamatwa, lakini hamna nguvu ya umma kumtetea...CHADEMA mnatakiwa mjaribu kum-contain huyu bwana, otherwise aibu inawasubiri uchaguzi wa 2015 msipokua makini....
 
kakamatwa lini kwa issue gani, siasa ndio zilivyo uongo kiasi na ukweli kiasi...usishangae sana, halafu watu wanauana kwa madem kaka usishangae sana, kwan we hujawahi kuhonga halafu familia yako ikalala njaa
 
Ni kweli boss, watu wanauana kwa mademu, lakini unapokua kiongozi ni kwamba umevaa koti la utumishi, inabidi uwe serious na matatizo ya wananchi zaidi otherwise koti halikutoshi...
 
nilivosikia jana usiku ni kwamba alikamatwa kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali. alikuwa maeneo ya Nzovwe pale
 
fiesta ni agenda ya chadema lol

Eti alipeleka wasanii wake watumbuize bure Ruanda Nzovwe ili ahujumu Fiesta ya Clouds inayotarajiwa kufanyika leo pia uwanja wa Sokoine...
 
nilivosikia jana usiku ni kwamba alikamatwa kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali. alikuwa maeneo ya Nzovwe pale

Upo sahihi kabisa, ilikua ni mkakati wake wa kuhujumu Fiesta ya leo, wakati wananchi wanataraji awe bungeni akiwasilisha shida zao, yeye yupo Mbeya kugombana na Clouds!!!???
 
Vyovyote itakavyo kuwa hata kama alipeleka wasanii wake pia anahaki yakufanyaburudani pia mbeya kwani nisehemu ya tanzania uhuru huo anao pia hoja hiyo haina mantiki hata kidogo ya kumzalilisha kiongozi aliye chaguliwa na wananchi kwa kumkamata na police.
 
Aache utoto, ameshakua sasa.
 
Kama umekosa hoja ya kuleta hapa kwenda zako ukalale. Umetumwa na "Damu Chafu", Kibonde!
 
Eti alipeleka wasanii wake watumbuize bure Ruanda Nzovwe ili ahujumu Fiesta ya Clouds inayotarajiwa kufanyika leo pia uwanja wa Sokoine...
Kwa hiyo itaitwa Chadema Fiesta Mbeya?
 
Solution sio kumzalilisha mbunge ziada eti kwakupeleka wasani kutumbuiza hapo kwani hakihiyo anayo kama mtanzania mwingine wa kawaida haki haijarishi siku wala muda hata chama fahamu ulimwengu tulionao ni waushindani aweke kiingilio asiweke kama promotion kwakuwa ndio anaanza sasahayo ni matakwa yake he is right
 
Siasa za ccm, si watu wote wanaweza kulipa 3000, sugu alikuwa na haki ya kuaanda tamasha la bure, kama amekamatwa basi huu ni ushindi ambao clouds wameshindwa na kutumia jeshi la polisi
 
Kwa taarifa nilizozipata Fiesta mbeya hakuna watu wana kila aina ya silaha, kuzuia fiesta. nafikiri hii ndiyo nguvu ya umma MDAU uliyokuwa unaisema
 
AAh !! Siasa bana, taarifa zinasema kosa lake ni kufanya mkutano bila kibali sasa hii ya Fiesta , madem zinatoka wapi ? Watu wanjiuliza ni kweli hakuwa na kibali kwa nini ? We unaleta fitina za Udaku hapa.
 
Walewale!
Bata akihara sio mgonjwa!
Tabia za kibata bata!
Fiesta my arse! Ndo sera ya wanamabata?
 
Back
Top Bottom