Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,862
Hawa watu ni wapumbavu sana aisee! Wanaifahamu kabisa historia lakini wamechagua UPUUZI na propaganda za KIJUHA na kuvibatiza jina la ukweli, wamebaki kujazana CHUKI tu. Wamisionari walikuja na SHULE wengine wakaja na madrassa. No wonder kule kwingine wenzao waliposhindwa kubaini adui ni UJINGA na UMBUMBUMBU uliokithiri miongoni mwao kutokana na sababu dhahiri za kihistoria, wakasema adui ni hii elimu waliyoleta wazungu. Wakaja na Boko Haram kupigana na "adui" huyo.Umekaa na kutafuta namna ya kutoka kimaisha umeona umefeli huu ndio ushuzi unakuja kuandika hapa ili upate sapoti ya magaidi wenzako....?!
Kwa taarifa yako radicalism ni ugonjwa wa akili na wewe umeashaanza kukupata. Usidhani utaishia hapo. Leo unasema waislam wanadhurumiwa kesho hata ukaachiwa hii inchi yote hii na wapuuzi wenzako mnaofanania akili na maoni na mawazo utadhani hata mnajua nini maana ya uislam na dini imetokea wapi.............. Mtaendeleza roho chafu ya chuki dhidi ya wengine tena wakufanana nao dini kabisa..... Kesho utasema waislam wa kigoma sio watu wazuri bali wazuri ni waislam wa tanga sababu ya tabia ile ile ya chuki, choyo, ubinafsi na roho mbaya dhidi ya wengine.........
Kuna watanzania kibao wanaishi huko vijijini hawana dini wala hawajui nini maana ya dini yoyote, hao nao wadai wana waraka wa kutoa kusema hawana nafasi katika shughuli za serikali.....
Omba sana MUNGU roho chafu ya kuchukia binadamu wengine ikutoke. Hapo hautetei maagizo ya MUNGU wala uislam, wewe ni hasidi na mfitini uliyejificha nyuma ya dini na roho yako chafu ya ahera inakuita ndio maana unaongea upuuzi kama huu umeandika hapa.
MUNGU akusaidie akili yako chafu isafishike ukae ukijua kuwa huwezi kubagua ukamaliza utanendelea hadi mwisho wako maisha na kizazi chako utakiachia misala ya ubaguzi.
Kabla haujajitambua kwa dini,taifa, kabla haujajitambua kwa kabila au kanda unayotokea kaa ukijua wewe ni mwanadamu kwanza kabla ya yote na baada ya hapo wewe ni mwafrika, halafu ni wa jinsia fulani, hayo mengine ni ya ziada......
Roho mbaya tu shenzi wahedi wewe.....