Kukamatwa kwa pembe za ndovu airport kunafundisha nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukamatwa kwa pembe za ndovu airport kunafundisha nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jul 10, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,726
  Trophy Points: 280
  Kama wiki mbaya kwa wafanyakazi wa JULIUS NYERERE AIRPORT NI wiki hii.
  kuna matukio mawili yametokea ambayo hayo ni yale tu kati ya 50 yaliyofanyika watanzania wakapata kujua nini kinaendeleaa uwanja wao wa kimataifa wa ndege......tuanze na hili la pembe za ndovu
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,726
  Trophy Points: 280
  inasikitisha sana kwa binti yule kutokea yaliyomtokkea na inasikitisha zaidi kwamba alikuwa anajua nini anachokifanya ...,labda niwaeleze kwa masikitiko yaliyotokea:huyu dada alishushwa na landcruiser dreva akiwa mchina na mswahili ndani;kijana wa kiume....,baada ya dk kumi ikaja gari nyingine ambayo ilikuja nahiyo mizigo..yule dada masikini akkapewa maelekezo akaingia ndani....alipoingia ndani simu ndio iliomtokea puani...,alipoingia ndani maelekezo ilikuwa akifika ndani ampigie simu mtu aliekuwa asafiri na emirates na hiyo mizigo....,hamjui kwa sura hilio ndilo tatizo lilipoanza alipofika ndani pale getini kwenye machine akapita kama kawaida ....as long Wafanyakazi wa TAA walishakatiwa chao...alipochukua simu apige charge ikawa imeisha.....mwanamke akabaki amechanganyikiwa katikati ...akafanya kosa arudi tena nje na ile mizigo kama ilivyo hapo ndipo kasheshe ilipoanza poliisi na njaa zao wakaanza kumzonga wakamlazimisha apitishe Kwenye machine zilipopita wakakaaaaitana chemba baada ya kukubaliaana kutokukubaliana....hapo ndipo ikasanuliwa uwanja mzima...likaja nissan akachukuliwa akapelekwa sehemu husika.....,
  hilo ni baadhi tu ya matukio machfu yanayofanywa na wafanyakazi wa TAA..wamekuwa na njaa ya kutisha hata kuanza kusachi watu wanaotoka ndani ya uwanja wakikukuta na juice,soda ati lazima tugawane....,
   
 3. K

  Keil JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mama Mia naona ulikuwa na usongo sana na mada hii, maana naona umeamua kufungua threads 3 zote zinahusu kitu kile kile.

  Hebu onyesha usongo wako basi kwa kumwaga details zaidi, maana naona una habari nyingi na matukio kibao yanayochefua hapo JK Nyerere International Airport.
   
 4. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #4
  Jul 10, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii ni Cinema hadithi au???? unavyoelezea inaoinekana MOVE yote ulikuwa nayo kuanzia kuingia kwa huyu dada mpaka kukamatwa kwake!!!!!!!!

  Japokuwa hili tukio limetokea lakini kwa jinsi unavyolihadithia binafsi napata MASHAKA.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,726
  Trophy Points: 280
  hapana wakuu si lengo langu kufungua zote.kumradhi..hata mie nimeshangaa...wakati nilipoandika nikisend haionyeshi kama imeenda yaani kuonyesha na thread....matokeo yake naona mada inakuwa bado naiona kwenye pc..nikabonyeza tena kusend bado aiendi....nikaamua kukancel....nikaifungua upya kubonyeza new post nazikuta kama zilivyo hapo...si lengo langu kutma tatu....kwa ufupi uchafu tu mwingi uko pale ....na mwingine unakuwa controlled na wakubwa wenyewe....,

  Mchezo mwingine mchafu uko pale CUSTOMS.
  Hapa naona soln ni kuwafanyia reshuffle mara kwa mara wasizoee abiria...naona mmeona wote upuuzi wao ....we una akili kwel unapitisha simu 500 free ....mmmhh
  labda cha kusikitisha hapo ni hao mapolisi wa usalama wamekuwa wakikamata miizigo wanataka hela nyingi sana wauachie na kuonyesha hilo wanakuachia unaenda mpaka kwenye gari unaingiza ndipo wanapoamua kuchukua chao kama hauna mnakimbizana nao..na polisi wanakuitia...swala moja ninalowashangaa hawa mabwana wanjifanya wanakamata watu lakini poliisi na usalama wa taifa ndio wa kwanza kula rushwa kubwa hapo airport.....,kama wanaamua kula rushwa wale rushwa....,kama hawali rushwa basi wawakamate wahusika na kuacha kuwapokea wapitisha madawa ya kulevya pale airport na kukabidhiwa million 1-2,,,kisa wametumwa na mkuu wa kitengo cha polisi cha madawa ya kulevya...ndio maana majuzi nilikutana na dada mmoja analalamika anataka akamwone mkuu wa madawa ya kulevya amlete airport...haya tuyaache hayo kila la kheri mkifanikiwa fanyeni mambo ya maana jamani....nawatakia heri.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  hehehe naona alikuwa anaiangalia movie nzima vp mama mia ulichukua picha yake? Lakini si wanasema mke wa mchina huyo dada na wamezaa nae mtoto cha ajabu mtoto ni black kama yeye. Duh kwa hiyo yeye alikuwa hasafiri? Kumbe dili lilikuwa limetiki kabisa inaonyesha hakuwa na cha paa kuwatuliza polisi pale.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mamamia

  Inakuwa ngumu sana kufuatilia hii story na kupata undani has akama hujaona TV au kusikia popote pale juu ya hili

  Hebu tujuze vizuri na sie tufaidike
   
Loading...