Kukamatwa kwa pembe za ndovu airport;kunafundisha nini ?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukamatwa kwa pembe za ndovu airport;kunafundisha nini ??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jul 10, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Kama wiki mbaya kwa wafanyakazi wa JULIUS NYERERE AIRPORT NI wiki hii.
  kuna matukio mawili yametokea ambayo hayo ni yale tu kati ya 50 yaliyofanyika watanzania wakapata kujua nini kinaendeleaa uwanja wao wa kimataifa wa ndege......tuanze na hili la pembe za ndovu
  inasikitisha sana kwa binti yule kutokea yaliyomtokkea na inasikitisha zaidi kwamba alikuwa anajua nini anachokifanya ...,labda niwaeleze kwa masikitiko yaliyotokea:huyu dada alishushwa na landcruiser dreva akiwa mchina na mswahili ndani;kijana wa kiume....,baada ya dk kumi ikaja gari nyingine ambayo ilikuja nahiyo mizigo..yule dada masikini akkapewa maelekezo akaingia ndani....alipoingia ndani simu ndio iliomtokea puani...,alipoingia ndani maelekezo ilikuwa akifika ndani ampigie simu mtu aliekuwa asafiri na emirates na hiyo mizigo....,hamjui kwa sura hilio ndilo tatizo lilipoanza alipofika ndani pale getini kwenye machine akapita kama kawaida ....as long Wafanyakazi wa TAA walishakatiwa chao...alipochukua simu apige charge ikawa imeisha.....mwanamke akabaki amechanganyikiwa katikati ...akafanya kosa arudi tena nje na ile mizigo kama ilivyo hapo ndipo kasheshe ilipoanza poliisi na njaa zao wakaanza kumzonga wakamlazimisha apitishe Kwenye machine zilipopita wakakaaaaitana chemba baada ya kukubaliaana kutokukubaliana....hapo ndipo ikasanuliwa uwanja mzima...likaja nissan akachukuliwa akapelekwa sehemu husika.....,
  hilo ni baadhi tu ya matukio machfu yanayofanywa na wafanyakazi wa TAA..wamekuwa na njaa ya kutisha hata kuanza kusachi watu wanaotoka ndani ya uwanja wakikukuta na juice,soda ati lazima tugawane....,
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2

 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Inawezekana huyo hakuwa Kigogo. Nasikia meli yenye Pembe hizo imekatwa Thailand ikotoka Tanzania, yeye aliyepitisha airport basi ni fisadi njaa.
   
 4. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2009
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hizo ndizo gharama za umaskini wetu,Njaa ,njaa kali hadi wapi????
   
 5. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Yep that is Tanzania and it is still happening, toka 2009 sasa 2012.
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,892
  Trophy Points: 280
  Hawa Tembo wakishaisha wote huko porini mtauza nn tena??
   
Loading...