Kukamatwa kwa Ndege ya ATCL huko SA: Serikali imkamate mtoto wa Herman Steyn kwa kufanya udukuzi hapa nchini

Daaah,hawa jamaa wanakuja nchini kwetu alafu wanahodhi ardhi maekari kwa maekari,kuna mmoja ana hodhi ekari elfu 60,saiv kamuachia mtoto wake,yaani hawa jamaa wana miliki ndani ya nchi yetu.wanatuona sisi ni mafala sana,haya maviongozi mengine cjui yalikua yanafanya kazi gani sasa?
Yaani mtu anamiliki ardhi yetu alafu anatushtaki kwa kutumia ardhi yetu hio hoi na kutaka alipwe kwa ardhi yetu hio hio.
Mambo kama haya ndio yanafanya nimkubali sana Magufuli ni mzalendo kwa nchi yake.haaa jamaa walikua washatuona sisi ni wajinga sana
Hawa wawekezaji wote Ardhi wanazozimiliki hio mikataba yao ya umiliki ipitiwe upya tena.

Tanzania kwanza!....
Mnapoambiwa "mikataba mibovu" huwa unaelewa nini ?!
 
Mkuu ni ngumu sana kulaumu watu juu ya hili,
Hilo shamba la huyo mzungu lilitaifishwa miaka ya 80’s kipindi Mwinyi Rais, na lazima kulikuwa na Sababu tu,
Unajua hata jirani yako anaweza kukushtaki kwa kupiga honi karibu na nyumba yake na akashinda kesi, Kila siku watu wanatafuta namna za kunufaika

Kesi imeenda mahakamani,alienyang’anywa kashinda!

Alipwe!

Maamuzi ya wanasiasa ni ya kipumbavu sana!

Wanasiasa wana akili za hovyo kama mimi na wewe!

Dont put your money on them!

Na eti ni ya zamani 1980’s hivi una akili kweli wewe?Haki ya mtu hua inapotea sababu eti ya muda?

Hebu tumia akili wewe mtu!
 
Huyu babu namkumbuka aliwekwa ndani na Mwalimu kwa kosa la uhujumu uchumi huku akijimilikisha Mali yakiwemo mashamba baada ya familia yake kufurumushwa huko Kusini na kuja kuweka makaazi hapa Tanzania.

Kesi yake kuwekwa kizuizini iliwaibua mabebeberu kumtetea lakini Mwalimu alimfurumusha na ndipo akakimbilia Kenya, nadhani alikuwa na uraia wa Kenya.

Baadaye akaomba msamaha na busara ikatumika kumrejeshea baadhi ya vitu ila kwa tamaa akataka mashamba yote Arusha eneo la kwa Ugoro amilikishwe yeye na hakutaka wananchi wapewe chochote. Serikali ikaona upumbavu ikamwekea kauzibe!

Lakini ana wanaye/mwanaye anafanya kazi hapa Tanzania na kampuni moja ya wazungu na huyo kijana angeweza kuajiriwa kwingine ila kang’ang’ania Tanzania kwa sababu gani? Huyu ndiye anatuchimba na kupeleka taarifa magharibi huku akimpa baba yake kiburi kwa sababu ya ahadi alizopewa na waajiri wake so lazima akamatwe tumhoji anachofanya hapa nchini na hiyo kampuni anayoifanyia kazi ina majukumu gani.

Tuache kupambana na Watanzania, tupambane na hao waliofurumshwa nchini miaka ya nyuma na sasa wamepandikiza watoto wao.

Huyu akihojiwa, tutajua mengi na yawezekana anayofanya yana elements za uhaini. Huyu Mzee alishakata tamaa na alishalipwa baadhi ya Mali zake lakini ghafla ameibuka kwa kiburi tena siyo Kenya, ni South Africa.

Kikosi chetu cha ujasusi lazima kisukwe upya kwa kuwashirikisha wakongwe wa taaluma mbalimbali kutoka nje na ndani ya vyombo vya dola kwani mapambano tuliyonayo hayapaswi kufanywa na chombo kimoja; tunahitaji tutafute vijana wenye skills na new ideas kutoka vyombo vyote then tuwaongezee ujuzi watusaidie kulinda nchi yetu.

Mtu kama Steyn alipaswa kufuatiliwa yeye na kizazi chake ila tulilala hadi ndege inakamatwa. Je, makachero waliopo ubalozini hawana mahusiano mazuri na vyombo vya dola vya SA? Haiwezekani zuio lifike viwanja vya ndege vyombo vya dola visijue. Vilijua ila hawakuweza kutuambia kwa sababu tumepeleka watu ubalozini siyo kutengeneza PR bali kwenda kuwadukua Watanzania waishio humo na kuwaletea ripoti chafu.

Kupitia mahojiano na familia ya Steyn, tutabaini mengi ila itufungue macho kwamba tunayo kazi ya kufanya kama nchi.

We need to invest in our security organs!

Sasa ukimkamata na kumhoji ndiyo deni linakuwa limelipika na ndege yenu kurudi Magogoni Dar?

Unawashauri kulikuza tatizo badala ya kulitatua....

Afadhali hata Rais Magufuli aliamua kujaribu kumwambukiza Rais Ramaphosa "Magufuli syndrome" nchini kwake ajaribu kuingilia mahakama kwa mlango wa nyuma kama afanyavyo yeye......

Sina hakika kama alikubaliana naye maana naamini asingependa asilani kufuata nyayo za wenzake Jacob Zuma na Thabo Mbeki kwa kulazimishwa kujiuzuru kabla ya wakati.....!!
 
Naona umeelimishwa,
Kubali tu kwamba wewe una akili kidogo,
Jinsi ATCL imekamatwa kwa deni
images (11).jpeg
 
Huyo mtoto wa Steyn ni kukamata, weka chini ya ulinzi na uchunguzi mkali ufanyike.😡
 
Huyu babu namkumbuka aliwekwa ndani na Mwalimu kwa kosa la uhujumu uchumi huku akijimilikisha Mali yakiwemo mashamba baada ya familia yake kufurumushwa huko Kusini na kuja kuweka makaazi hapa Tanzania.

Kesi yake kuwekwa kizuizini iliwaibua mabebeberu kumtetea lakini Mwalimu alimfurumusha na ndipo akakimbilia Kenya, nadhani alikuwa na uraia wa Kenya.

Baadaye akaomba msamaha na busara ikatumika kumrejeshea baadhi ya vitu ila kwa tamaa akataka mashamba yote Arusha eneo la kwa Ugoro amilikishwe yeye na hakutaka wananchi wapewe chochote. Serikali ikaona upumbavu ikamwekea kauzibe!

Lakini ana wanaye/mwanaye anafanya kazi hapa Tanzania na kampuni moja ya wazungu na huyo kijana angeweza kuajiriwa kwingine ila kang’ang’ania Tanzania kwa sababu gani? Huyu ndiye anatuchimba na kupeleka taarifa magharibi huku akimpa baba yake kiburi kwa sababu ya ahadi alizopewa na waajiri wake so lazima akamatwe tumhoji anachofanya hapa nchini na hiyo kampuni anayoifanyia kazi ina majukumu gani.

Tuache kupambana na Watanzania, tupambane na hao waliofurumshwa nchini miaka ya nyuma na sasa wamepandikiza watoto wao.

Huyu akihojiwa, tutajua mengi na yawezekana anayofanya yana elements za uhaini. Huyu Mzee alishakata tamaa na alishalipwa baadhi ya Mali zake lakini ghafla ameibuka kwa kiburi tena siyo Kenya, ni South Africa.

Kikosi chetu cha ujasusi lazima kisukwe upya kwa kuwashirikisha wakongwe wa taaluma mbalimbali kutoka nje na ndani ya vyombo vya dola kwani mapambano tuliyonayo hayapaswi kufanywa na chombo kimoja; tunahitaji tutafute vijana wenye skills na new ideas kutoka vyombo vyote then tuwaongezee ujuzi watusaidie kulinda nchi yetu.

Mtu kama Steyn alipaswa kufuatiliwa yeye na kizazi chake ila tulilala hadi ndege inakamatwa. Je, makachero waliopo ubalozini hawana mahusiano mazuri na vyombo vya dola vya SA? Haiwezekani zuio lifike viwanja vya ndege vyombo vya dola visijue. Vilijua ila hawakuweza kutuambia kwa sababu tumepeleka watu ubalozini siyo kutengeneza PR bali kwenda kuwadukua Watanzania waishio humo na kuwaletea ripoti chafu.

Kupitia mahojiano na familia ya Steyn, tutabaini mengi ila itufungue macho kwamba tunayo kazi ya kufanya kama nchi.

We need to invest in our security organs!
OP! KAMA ulishindwa kufanya UJASUSI WA KUTOJUA kama umefunguliwa kesi. Mpaka ndege imekamatwa ndio utajua kufanya sasa. Ujasusi mnaoujua ni Leo Mbowe au Maalim Seif wanafanya mkutano wapi mkazuie
 
Huyu ndo alisema serikali ya mwalimu kaiweka mfukoni hivi huyu mzee ana mfuko mpana kiasi gani
 
Haeleweki hata kidogo, ajipange vyema. Huenda ni mstaafu na anataka apewe kazi
Hata mimi sijamwelewa, mtoto wa Herman Steyn anahusikaje na ndege kuzuiwa, yeye ndiye aliyewachochea wadai kudai au yeye ndiye aliyesababisha deni
 
Back
Top Bottom