Kukamatwa kwa Mtanzania Kiongozi wa Waasi nchini Msumbiji: Kwanini hakuripotiwi na Vyombo vyetu?

Uislamu umefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi.Badala Mungu awapiganie watu,eti watu wanampigania Mungu,huyo Mungu ni wa kutiliwa shaka.
Hao sio waislamu wanajiita ni waislamu.Juzi hapa Dar,Kigamboni alikamatwa mtu,anaitwa John Makoye,amevyaa kanzu,kofia na begi la mkononi,akichangisha pesa,akisema anachangisha pesa za ujenzi wa msikiti,amechangisha karibia miaka mitatu,wakati kumbe sio Muislamu,ni mkatoliki,nenda you tube,ipo clip yake.Je wako wangapi kama Hawa duniani,wanaojifanya ni waislamu,na kuvyaa mavazi ya kiislamu ,kumbe sio waislamu.
 
Ukosefu wa ajira watu wanafanya chochote, tujitazame vijana wanaingia kwwnyw uhalifu.
Sema vizuri...hawa ni wendawzimu wanaotumia mafundisho ya dini vibaya. Eti wanaanzisha dola ya kiislamu. Ina maana uislamu uliopo una shida mpaka huo wa kuua na kurape wanawake?
Mwenyezi Mungu atuhurumie maana uwendawazimu wa aina hii lazima uzimwe kwa nguvu zote
 
Hao sio waislamu wanajiita ni waislamu.Juzi hapa Dar,Kigamboni alikamatwa mtu,anaitwa John Makoye,amevyaa kanzu,kofia na begi la mkononi,akichangisha pesa,akisema anachangisha pesa za ujenzi wa msikiti,amechangisha karibia miaka mitatu,wakati kumbe sio Muislamu,ni mkatoliki,nenda you tube,ipo clip yake.Je wako wangapi kama Hawa duniani,wanaojifanya ni waislamu,na kuvyaa mavazi ya kiislamu ,kumbe sio waislamu.
Ni mwendawazimu kama wendawazimu waliokamatwa Kule Msumbiji
 
Binafsi naona tz tunalo jukumu LA kuingua msumbiji na kuweka mambo sawa. Weaknesses za jeshi la msumbiji tunatakiwa kuzi supplement. Usalama wa tz haupo kabisa kama Mozambique inawaka moto.
Sielewi ni kwa nini tulimwachia Kagame akaenda kujimwambafai kule wakati sisi ndio majirani wa karibu, sikulielewa hili suala!
 
Back
Top Bottom