Wakimuwahi DPP, hakuna kesi.
Kwa nini "wamuwahi DPP" ?
Muda wowote DPP anafanya ma dili.
Serikali hii kila kitu kinazungumzika, muda wowote, kosa lolote.
Ukipiga mali sehemu nenda chimbo tulia sikilizia kwanza. Wakikumata unawapa nusu ya ulichoiba unaachiwa.
Mara nyingi huwa hawajui kimeibiwa kiasi gani, wanabahatisha tu, ndio maana hawaleti kesi mahakamani.