Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

Safi. hii barua i wish ingesambazwa kwenye media zote ili ipate kufahamika na watz waote.
CCM wachache wenye Roho mbaya na vijana wa Le mutuz kubwa jinga wamejitahidi kupangua mawe ya watanzania wengi wapenda siasa za Aman lakini hawataweza kamwe dhambi za Maliyamungu zinawasuta moyoni mwao.
 
CCM wenye Utu ni wengi lakini wanaogopa kusaidia Live kwa kuwa Dikteta na Maliyamungu watawavua Uanachama kama walivyomtisha Spika huko nyuma, Nyalandu kajitoa Mhanga kwa kuwa anajua Janga la Lisu lipo kimataifa na endapo watamfanyia unyama wa kumvua Uanachama Dunia itajua na atasaidiwa kwa wema wake.
Kwahiyo ccm hawawezi kumtumia huyo mwanaccm mwenzao kummaliza Lisu?

Kumbe mnatongozeka kirahisi hivi.
 
Hivi hawa wa lawyer walimwandikia Malikia , pale Princess Diana alivyo kufa, Je walimwandikia Barua Tonny Blair, pale Robert Kelly mchnguzi wa Nuklia Iraq-Saadam hana uwezo au hana nuklia alivyo kufa?
Hivi wame waandikia serikali ya Uingereza waruhusu Assange aondoke UK bila kushikwa ?
Hivi Acacia walivyokuwa wanatupiga , waliwaandikia Barua? maana nasikia Acacia HQ ipo UK
Hivi walivyotupigaua RADA , napo waliandika Bar
Wizi wa Acacia ulipitishwa na wabunge wa CCM Dodoma na Mtukufu alikuwa sehemu ya hilo bunge, wezi waliitwa ikulu na juzi waliitwa kwenye mazungumzo ni Tanzania pekee mwizi huenda ikulu
 
Hawa siyo wajinga. Huu unaweza kuwa ni mwanzo lakini ni kwaajili ya kuweka records. Tuangalie tulipojikwaa ili tujisahihishe.

Sisi siyo Iran wala North Korea, hatuna uwezo hata mdogo kabisa wa kuhimili nguvu ya Dunia. Na mbaya zaidi tunalaumiwa katika mambo ambayo hatukustahili kuyafanya, na yanatuudhi hata sisi wenyewe.
Well said
 
Kwani Rais wa mauwaji wa kibiti ni nani nafkr hawamjui ndo maana walishindwa kutoa tamko la kulaani...ila Rais TLS wanamjua na ndo aloshambuliwa tena mwenzao katk medani hiyo ya sheria kwann wasilaani...ccm
tukio la tundu lissu msipokuwa makini litatugharimu miaka mingi sana athari zake jifanyeni wababe kwa kuwa mnakula mnalala mnalindwa lkn kumbukeni maumivu
watakayoyapata wananchi kutokana na vikwazo mbalimbali vinavyokuja...na lazima vitakuja tu kwa kuwa hamna hekima wala busara mnachojua kuropoka tu shibe
zimewalevya....

Ni nani huyo unaesema hawamjui?
 
Kwahiyo ccm hawawezi kumtumia huyo mwanaccm mwenzao kummaliza Lisu?

Kumbe mnatongozeka kirahisi hivi.
Mungu yupo na huyo Mungu anawaonyesha Wazuri kwa Lisu kama alivyolinda Uhai wake mpaka sasa, Kumbuka mungu kaonyesha wabaya wa Lisu Kupitia Polisiccm kuzuia Maombi kanisani na Albadri
 
Mwenye akili angeyafahamu haya

1. kuwa 30% - 40% ya bajeti unafadhiliwa na nchi wahisani ikiwemo UINGEREZA .

2. misaada na mikopo ya kimataifa unatolewa na nchi tajiri ikiwemo UINGEREZA ili kusaidia nchi kama TANZANIA.
Hivi majuzi mmechukua mkopo wa milioni 500 kwa riba ya milioni 400 za kimarekani.

3. MMEIGIZA na kufuata sheria yao (THE ENGLISH COMMON LAW) Kwenye sheria zenu badala ya kutunga zenu mwenyewe.

4. Makampuni makubwa ya kimataifa yaliyowekeza katika sekta mbalimbali nchini ni ya UINGEREZA.

Kampuni ya acacia inamilikiwa na waCanada, Waingereza na wamarekani.

5. UINGEREZA ina kura ya Veto katika baraza la usalama la umoja wa mataifa ( UN-security council).

Ishu ya kukunua makombora na silaha kali za kivita kwa dogo MAPANKI wa KOREA YA KASKAZINI, nchi uliyowekewa vikwazo vya kiuchumi na Umoja wa mataifa ipo kwenye uchunguzi. Kuweni makini.

6. CANADA NI koloni la UINGEREZA, hivyo basi hukumu ya kesi za madai dhidi ya serikali yenu zilizotolewa Canada pia zimesajiliwa UINGEREZA. Mali za serikali yenu zinaweza kushikiliwa au kutaifishwa ikiwa hamtalipa madeni mnayodaiwa na makampuni ya Canada.

Na ndio maana ya kukamatwa kwa ndege za bombadier.

7. Mlipewa uhuru mezani na UINGEREZA, sio uhuru wa kumwaga damu kama wenzenu Kenya.

8. Jaribio la kutaka kuipindua serikali ya tanganyika mwaka 1964 lilizuiliwa baada ya Nyerere kuomba msaada kwa UINGEREZA. Serikali ya Uingereza ilitoa helikopta na meli iliyobeba MAKOMANDOO waliokuja kurejeresha amani.


UINGEREZA NI KILA KITU.
Kila kitu kwako, sio kwa wote.
 
Wizi wa Acacia ulipitishwa na wabunge wa CCM Dodoma na Mtukufu alikuwa sehemu ya hilo bunge, wezi waliitwa ikulu na juzi waliitwa kwenye mazungumzo ni Tanzania pekee mwizi huenda ikulu
Sasa kwanini ndike hiyo barua sasa hivi na sio wakati huo, na katika matukio yote Viongozi ni /CCM?
 
None sense kabisa!
British and Wales Committee of human rights hawana watu wa kuhakiki hiyo barua?
1. Ngudagai ndo nani?
2. Na inakuaje taasisi kubwa kama hiyo wachanganye british na american english? Kwenye honorable Palamagamba kabudi, taasisi makini ya Uingereza ingeandika Honourable Palamagamba Kabudi.
3. Contents inaonesha wao tayari wameshafanya hitimisho kuwa mhusika mkuu wa shooting na matukio mengine ni mkulu, taasisi makini haiweI kuwa hivyo.

Hitimisho ni kwamba hii barua ni ya kuchonga, mtu aliyeitengeneza kajisahau padogo sana, kama sio ya kutengeneza basi hiyo committee haitambuliki hata huko Uk, ni genge la wahuni tu.
ila kuna watu wasio makini wameamua kutoona kasoro za barua hii.
 
Huu ni upupu Watanzania keendelea kuabudu wakoloni.....

Mzungu yupo kimaslai zaidi.. Akutetei tu kizembe bila kukufaidi..

Haya ulipaswa kuwaambia watawala kwanza waachane na dhana ya utawala tena kandamizi warudi kuwa viongozi wenye dira iliyotengenezwa na malengo ya jumla ya watu.
 
Asante kwa nasaha zako.


Ila sitishwi wala siwaogopi wazungu koko tena nafanya nao kazi na muda huu ndiyo najiandaa kutoka ofisini maana ni 5:32pm hapa nilipo.

Pia, kifo cha Jo Cox, mbona hata UK na hao UK law society hawakuwaandikia common wealth, UN au EU kulalamika au kuonya hilo tukio la kuuawa kwa Jo cox!?

Pia, hakuna kitu cha uongo nilichokiandika na kama ulivyosema nimetumia maneno ya kawaida kabisa japo nimewajulisha Uongozi JF kuwa wasinipe Ban kwa maneno hayo mawili maana ni ya kawaida.

Sasa unataka kutuaminisha nini Mkuu, unataka kusema serikali ya uingereza imejihusisha na uuaji wa Jo Cox?

Aliyemuua Jo Cox, ameshakua convicted na court of law sasa hivi yuko jela,

Umeelewa kinachopigiwa kelele?

Mbona unachanganya mambo Mkuu..
 
Back
Top Bottom