Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

Hivi TLS nayo wanaweza kuiandikia Uingereza kuhoji ile ajali ya princess Diana kama ilikuwa ajali au alitengenezewa
 
Matamko tukio la lisu yamekuwa mengi sana lakini hatuoni chochote cha maana kinachoendelea, fanyeni kazi maisha lazima yaendelee
Hoja ya kumpiga Idd Amin ilijengwa kwa miaka saba! Dunia ikamkinai na ikampiga!
 
Hii barua imeandikwa na serikali ya U.K au chama cha wanasheria wa U.K? Maanake wengi mnaongea as if ni tamko la serikali ya U.K
 
Rwanda kila Siku Watu wanapigwa Chuma wakileta U maku maku, Kenya kapigwa Chuma Mkuu wa ICT wa Tume
Kama vikwazo angeanza kuwekewa Kagame!

Ethiopia kuanzia ya Meles Zenawi mpaka ya Sasa Watu wanapigwa Vyuma vya kichwa wakileta Udwanzi the same to Eritrea lakin Maisha yanaendelea!

Huko Africa ya Kati ndio usiseme kwa Ubabe, Wazungu wanajua haya Mambo kwa Africa ni ya kawaida sana sana
Hao wanaokufa huko ni sawa na wewe au wengineo lkn sio sawa na Lisu.Sijui kama utanielewa, mpe jiran akusaidie
 
Hiki ndo ulichoandika..

Hao jamaa wamelima barua Kali,nimefurahi sana,sasa washinikize vikwazo vya kiuchumi haraka sana,huu utawala hautakiwi kufanya lolote zaidi ya kulipa mishahara,hatutaki utuachie alama yoyote hata ya daraja la kupitia baskeli
Mbona vikwazo tayar tulishajiwekea wenyewe labda wewe hujaguswa
 
Mkuu kuna watu wanashangilia utafikiri si Watanzania. Budget ya nchi inategemea Nchi za Magharibi sasa ugumu wa maisha hautachagua chama dini wala kabila. Zimbabwe ni mfano hai. Kuna watu wanadiriki kusema Lissu ni kibaraka wa wazungu aliyataka. Hivi kweli Watanzania tumekuwa hatuna utu kiasi hiki?
Hapo ndipo inapojidhihirisha kuwa watanzania hawana tofauti na mataifa mengine yanayojulikana kwa kubaguana...tena mimi naona watanzania ni wabaguzi zaidi na wana visasi zaidi.
 
Mkuu kama waweza kuwa serious tukajadiliana kwa hoja sawa,ila kama ni wale wa ulipo tupo wanaopelekwa pelekwa na ushabiki,basi ALL THE BEST.Mimi sio level yako mkuu.
Ha ha haa, Watanzania mna utani mbaya sana...yaani na wewe unajihesabu miongoni mwa watu wenye hoja! Masikini Jmc06, kama dai lako hili ni la kweli, basi nchi ina laana! Najua kwenye hiyo barua akina fent ford na Bashite lazima mtoke kapa, vuta subira labda utampata wa kukutafsiria.
 
  • Thanks
Reactions: AWM
Ulaya na Marekani walikuwa wanaitegemea sana Tanzania kwa kutatua mambo madogo madogo yanayoendelea Afrika hasa katika maziwa makuu.

Unakumbuka wakati wa utawala wa Kikwete raisi Obama alimpa majukumu makubwa Kikwete,moja katika majukumu hayo ni kuleta hali ya amani katika nchi ya Kongo,Kikwete kwa msaada kutoka marekenai alifuzu kufanya hivyo,alifuzu kuwaondoa M15.

Sasa kutokana na mambo ya ovyo anayofanywa na huyu jamaa yetu JPM Ulaya na Marekani wamepatwa na mashangao,wapigwa na butwaa hawajui wamuamini nani,hawajui wampe nani dhamana,na ndio maana unawaona wamekuwa wakali sana.

Wamarejani na Waingereza lao moja kama wameanza wangereza ujue wamarekani wanafuatia,
Cha muhimu kila mwenye dini take amuombe Mungu aliye hai mwenye mamlaka juu ya viumbe vyote. Tumuachie Bwana maana amesema visasi in juu take. Naamini atatenda kwa wakati wake, tuendelee kuomba tu.
 
Hivi TLS nayo wanaweza kuiandikia Uingereza kuhoji ile ajali ya princess Diana kama ilikuwa ajali au alitengenezewa
Kwani Princes Diana alikuwa ni mwanachama wa chama cha wanasheria wa UK? Shughulisha ubongo wako katika kufikiri
 
Ya Zimbabwe yalianza hivi hivi barua nzito sana sijui kama ataielewa na Lugha ya kimalkia hiyo...wao kwa maandishi hayo washaonesha nani wanahusika...
 
Waambieni hao mabwana wa Uingereza Lissu haitaji barua Lissu anahitaji matibabu wangemchukua wakampa matibabu ya uhakika huko uingereza watakua wamesaidia sio hizi ngonjera
Wewe unaziita ni ngonjera lakini mwisho wa siku kama Tanzania itatuumiza kwa njia furani.
 
Kam tungekuwa sovereign basi kusingekuwa na haja ya mahiga kwenda kubembeleza huko Un ili tusipigwe vikwazo kuhusu issue ya north korea,kama ni sovereign kwa nini tupangiwe wapi pa kununua silaha? sovereign?damn huko zimbabwe hawana hamu na hilo neno tena
Ni juzi tuu Rais siku aliyokuwa anakabidhiwa ile ripoti ya Bunge kuna alisema kuna vitu tunafanyiwa unaweza kusema hii nchi haijapata Uhuru.
Kwa hiyo haya mataifa kuna mambo yanayifanyika hayawapendezi labda swala Zanzibar yaani yapo mengi yaliyofichika hatuyajui ila Viongozi wanajua ni kwa nini hayo yanafanyika.
Mfano zile fedha MCC ambazo tulihaidiwa kama msaada baada ya serikali kutofanya walichokubaliana huu Msaada ulisitishwa .
Kwa hiyo hawa jamaa wanatubana kidokidogo tukija kustuka hali ya uchumi umedondoka then tukatie huruma tena kwa masharti mengine sio yale ya mwanzo.
Mungu ilinde nchi yangu
 
Kwao huko Mbona walimuua Dodi Al fayeed kisa tu alikuwa Anamyonyoa Nyuchi Princes Diana!

Waliwahi kumyonga Mwandishi wa BBC aliefichua taarifa za Siri za Iraq wakadanganya Eti kajinyonga

Wanaua Watu Libya, Syria, na Maeneo kadhaa Duniani hawajawahi kuilima Barua Serikal Yao wala Nato
Mbona hawakumlima Barua Magu kwa Mauaji ya Kibiti?
Magu alishasema Yeye hapangiwi na ukijaribu kumpangia ndio umeharibu kabisa
Sizonje wenu amekamatwa pabaya. Amejichafuaa kimataifa. A failure in Leadership. Rais nani mwingine wa Tanzania amewahi kujifikisha kwenye low levels kiasi hiki ndani ya miezi 18 tu ya awamu wake?
 
Back
Top Bottom