kukamata wahabesh kila siku kunachosha sana

MSHAURI_WA_NCHI

Senior Member
Nov 10, 2015
139
73
1.Je serikali yao inafahamu suala hili?
2. Je serikali yetu inafanya nini kuwajulisha waache kuja?
3. Je tunafurahi magereza zetu kujaa watu wasiohatia? Kisa wanasafirishwa toka kwao kwa kutofahamu wanakokwenda Africa kusin bila kufuata taratibu.
4. Lazima tukomeshe tabia hii kwa kuzuia watu hawa kuja na kujaza magereza yetu bila sababu zinazozuilika.
 
Back
Top Bottom