Kukaa kimya ni kweli umewatuma

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
17,330
21,419
Hivi sasa nchi imeingiwa na sintofahamu,kuanzia bungeni ni kuwa bi tulia analalamikiwa na kambi ya upinzani kuwa hawatendei haki na malalamiko yao wamelenga kuwa ni maagizo toka ikulu lakini mpaka sasa mkulu wa ikulu hajajibu hizo shutuma wala kukanusha,mikutano na watu kuitwa na kuhojiwa na vyombo vya usalama lakini mkulu si kama wakulu waliotangulia walikua ni wepesi wa kujibu shutuma,mpaka sasa yupo kimya.
Je kimya cha mkulu ina maana ni kweli amewatuma?
 
Back
Top Bottom