kujuwa kuwa watu wanauchungu na Rostamu Azizi soma maoni ndani ya mwanahalisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kujuwa kuwa watu wanauchungu na Rostamu Azizi soma maoni ndani ya mwanahalisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Jan 18, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana Jf jana wakati nasoma Gazeti Mahili la Mwanahalisi ktk kichwa cha habari ROSTAM NDIYE DOWANS nilipambana na maoni ya watu ambao kweli wanauchu na hasira juu ya Rostam Azizi na Raisi wetu,sikutegemea kuyakuta maoni yanayo onyesha hisia kali juu ya watu hawa wawili,nadhani wanahitaji ulinzi wa kutosha kwani watu inavyo onyesha wamewachoka na sijui kama wao wenyewe wanalitambua hilo
  kwa habari zaidi hebu jiabarishe na maoni hayo ndani ya mwnahalisi gazeti toleo namba 224,maoni namba saba na nane
  naogopa kuweka hapa kwani kanuni,sheria na taratibu za Jf haziruhusu Matusi ya namna ile kuwepo hapa( Rostam ndiye Dowans | Gazeti la MwanaHalisi)
  nawasilisha

  msema ukweliiiii hapendwiiiii daimaaaaa:

  Mapinduziiii daimaaaa:closed_2:
   
Loading...