Dalali Mkombozi
Member
- Jun 26, 2015
- 56
- 21
Kumekuwa na mtazamo hasi ya kuwa " mtu asipojua Kuongea vizuri kiingereza basi watu wanamcheka na kumuona mjinga ata kama mtu uyo ni msomi sana ( daktari n.k ).
Mimi naona tunakosea sana, Kujua ama kutokujua lugha Fulani haiwezi kuwa kigezo cha kuitwa msomi au mjinga. Kiingereza ni lugha kubwa duniani lakini ina fanya kazi Sawa na kiswahili, kurahisisha mawasiliano.
Kunasahau kuwa sifa kubwa za mtu kuitwa msomi ni kuwa na maarifa, ujuzi, uzoefu na tabia njema. Tunaenda shule kutafuta ivyo vitu ( maarifa, ujuzi, uzoefu na tabia njema ) ili tuweze kuishi vyema kwenye mazingira yetu !!
Kuache kutukuza vya wenzetu huku tunasahau vyakwetu !!
#TanzaniaKwanza