Kujua kipato/mshahara wa mwenza wako ni poa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujua kipato/mshahara wa mwenza wako ni poa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by flovans, Jul 11, 2011.

 1. flovans

  flovans Senior Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa wapenzi au Wana ndoa,Je ni mhimu kufahamu kipato/mshahara wa mwenza wako?.......
   
 2. nemic4u

  nemic4u JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Sio muhimu sana kujua ila hata akijua hamna shida cha msingi asijue na marupurupu yako yote!
   
 3. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,140
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Ni muhimu sana kwa ajili ya kujipangia mikakati yenu ya kimaisha, pia kwa wale wasioaminiana kujua matumizi ya mwenzio kunaweza kukufanya umjue ni mtu wa aina gani kwa haraka. Kwa mfano, unaishi na mtu analipwa take home 1,000,000/= then kipato chake hakionekani kabisa na hujui fedha yake anafanyia nini. Kutaka kujua kipato kinakwenda wapi inaweza ikwa ni mwanzo wa kuvumbua maovu yake!!

  NB: Mwanamke anaweza kujua kipato cha mumewe but ni kawaida kwa wanaume kutokujua vipato vya wake zao!!!
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,870
  Likes Received: 83,348
  Trophy Points: 280
  Ili kuweza kupanga mikakati yenu ya kimaisha kwa siku za usoni kuna umuhimu wa kujua kipato chenu as a couple, vinginevyo kama kuna kufichana basi ni usanii mtupu na hii inaweza kuleta pingamizi kubwa katika kujiletea maendeleo kama familia.
   
 5. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mi nadhani ni muhimu sana na sio kujua kipato tu pia ni vizuri kujua anafanya kazi gani na ufahamu ofisi yake pia. Kuna kesho na kesho kutwa wandugu.
   
 6. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mi naona kama ni wanandoa sion haja ya kumficha mwenzako kipato chako,
  Ni muhimu sana kujulishana vipato vyenu ili muweze kujipanga na kufanya maendeleo ya familia yenu
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nadhani sio tatizo, chamsingi makubaliano!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ni muhimu kujua ili muweze kupanga vizuri mambo yenu ya kimaendeleo. Kama ni kimada tu hafai kabisa kujua kipato chako!
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  unapokua msiri na kufichaficha mambo yako, ndio chanzo cha malumbano yasiyo na msingi ndani ya ndoa.
   
 10. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Familia ninayotoka tulikuwa tunajua mishahara ya mshua,mama, hata ndugu zangu wakubwa wilipopata kazi ilikuwa kawaida kusikia wakiongelea aina ya kazi na viwango vya mishahara. Ni ajabu kubwa kuwa mtu mnapendana halafu hajui pato lako. Hapo kutakuwa ni usanii mtupu.
   
 11. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ni vizuri kujua.
   
 12. flovans

  flovans Senior Member

  #12
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeweka hii topic coz kuna mwana ndoa mfanyakazi mwenzangu anapata shida sana,mme wake ndo controller wa mshahara wake ingawa anapata mshahara mkubwa lakini mara kwa mara huomba msaada mara mia 2,mara elfu......hadi namwonea huruma
   
 13. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mpe pole masikini duh hayo nayo mashaka mengine basi hata mia2 akupe mke, huo mzigo haswa.
   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Na si kipato tu na matumizi pia. aaah. Ni muhimu kupanga maisha pamoja au siyo?

   
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Sasa hilo ni tatizo. Atakuwa kamlea mwenyewe wala si wa kuhurumia huyo. Mimi nisinge kubali aisee. Pesa ni ya familia but both husband and wife wana equal right ya kutumia hiyo pesa. Huyo mama atakuwa nanga kidogo kichwani mwake amemlea mwenyewe huyo mume wake alianzaje anzaje kumwekea hayo masharti. Kuna wanawake wanadhani wakiruhusu waume zao wa wacontrol ndio watawapenda kumbe ni ujinga mtupu.

   
 16. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mpe pole sana huyo bi mdada,
  Ni vzr kujulishana mishahara na kipato chenu hata matumizi yenu kiujumla na kupanga jinsi kutumia kwa ushirikiano na si mmoja kupanga bila kumshirikisha mwenzake hapo si haki
   
 17. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ni muhimu kujua atakula nini lakini sio nalipwa sh ngapi.
   
 18. flovans

  flovans Senior Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa kama mmefungua account moja afu mme ndo anashikilia ATM card,kila pesa uyotaka kutoa lazima akupe yeye ruhusa!ila wanawake nasisi tunazidi sana kuwatukuza hawa wanaume......
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Vizuri kujua nijue nakupiga vipi mizinga. Hahaha!
   
 20. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wadau, mimi sijaingia kwenye ndoa bado. Hili swali nalielekeza kwa wenye ndoa zaidi ili kupata mwanga kwenye hili, je ni muhimu au haina haja ya mwenzi wako kujua mshahara wako?
   
Loading...