kujizuia

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
natumai wote ni wazima wa afya.hivi ni kwa nini mahusiano either ni wachumba au wako kwenye ndoa wakiwa mbali na mwenzie mwanaume anapocheat inaonekana siyo ishu lakini inapotokea kwa mwanamke kusamehemewa probability yake ni ndogo sana na jamii pia inamchukulia ni ma**ya.kw jinsi ninavyojua kwa mtu kuamua hata mwaka unamaliza usifikirie mambo ya*** wanaume cjui naomaba tujadili mwanaume anaweza kukaa muda gani without doin *** au hawawezi kabsa nawasilisha karibuni
 
yoyote akiamua awe mwanaume au mwanamke anaweza kujizuia.
Tatizo mazingira ya jamii yetu yana vishawishi sana hasa kutokana na mmomonyoko wa maadili.
Ndo mana ni vijana wachache sana unakuta amejilinda na uzinifu mpaka anaoa
 
Ni pepar ngum hasa mwanaume akiwa amezoea kama mara1 kwa wiki hivi, basi mwili hujiweka katika mazingira ya kukidhi haja hiyo kwa kutengeneza sperm kwa wingi ili kuweza kufanya tendo hilo weekly (Biological adaptation). Hivyo pindi huduma ikikata hua hawezi kuadjust kwa muda mfupi kiasi cha kua na usumbufu mkubwa mwanzoni kwa kua haja ya kutoa sperm inakua kubwa.

Hii husababisha boys kua na STRESS na hasira from nowhere, na huwafanya kurespond to sex desires kwa kucheat ilimradi afeel poa tena. Hali hii hata hivyo huweza kua ya kawaida baada ya muda ikitegemeana na how frequent sex was done previous.

Kwa mfano kijana anaejamiiana mara moja kwa wiki atarudi katika hali yake ya kawaida mapema kuliko anaefanya mara3 kwa wiki......
 
Mm kama sikuli tgo, upo uwezekano wa mwanaume mwingine kukula.

Sa uoni hpo kuna tatizo?

Afu nyie mnapokea, pia kuna uwezekano wa kupewa mimba na lijamaa jingine. Mimi dume siwezi kuambukizwa mimba.
 
Kwa sababu mwanamke ndiye anapokea kimiminika....
Sasa ukipokea kwa huyu , kwa yule si unaonekana mchafu unachafuliwa hovyo, yaani hutunzi bakuli lako, limekaa kupokea kimiminika toka kwa mwanaume yeyote
 
natumai wote ni wazima wa afya.hivi ni kwa nini mahusiano either ni wachumba au wako kwenye ndoa wakiwa mbali na mwenzie mwanaume anapocheat inaonekana siyo ishu lakini inapotokea kwa mwanamke kusamehemewa probability yake ni ndogo sana na jamii pia inamchukulia ni ma**ya.kw jinsi ninavyojua kwa mtu kuamua hata mwaka unamaliza usifikirie mambo ya*** wanaume cjui naomaba tujadili mwanaume anaweza kukaa muda gani without doin *** au hawawezi kabsa nawasilisha karibuni
kuhusu mwanamke kuonekana malaya huo ni mfmo dume.kuweza wanaweza sana tu ila inaonekana hawawezi sababu asilimia kubwa wameegemea kutokuweza.msisitizo kila kitu ukikitawala kinawezekana mbona wakikaa jela wanaweza na wakikosa hawafi.
 
Mm kama sikuli tgo, upo uwezekano wa mwanaume mwingine kukula.

Sa uoni hpo kuna tatizo?

Afu nyie mnapokea, pia kuna uwezekano wa kupewa mimba na lijamaa jingine. Mimi dume siwezi kuambukizwa mimba.

Sikumaanisha tigo nilimanisha doin sex
 
Kwa sababu mwanamke ndiye anapokea kimiminika....
Sasa ukipokea kwa huyu , kwa yule si unaonekana mchafu unachafuliwa hovyo, yaani hutunzi bakuli lako, limekaa kupokea kimiminika toka kwa mwanaume yeyote
zungumza pia kuhusu wanaume
 
Hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Ni uamuzi tu wa Mtu awe mwanaume au mwanamke kutotenda tendo la ndoa kwa mwaka au hata miaka na kuishi positively akiwa ameamua hivyo kwa imani yake na utashi wake.
 
natumai wote ni wazima wa afya.hivi ni kwa nini mahusiano either ni wachumba au wako kwenye ndoa wakiwa mbali na mwenzie mwanaume anapocheat inaonekana siyo ishu lakini inapotokea kwa mwanamke kusamehemewa probability yake ni ndogo sana na jamii pia inamchukulia ni ma**ya.kw jinsi ninavyojua kwa mtu kuamua hata mwaka unamaliza usifikirie mambo ya*** wanaume cjui naomaba tujadili mwanaume anaweza kukaa muda gani without doin *** au hawawezi kabsa nawasilisha karibuni

Inategemea na mtu mwenyewe,kazi anazofanya pamoja na mazingira yanayomzunguka!
 
Mazingia yenyewe mademu wanatembea full uchi,vipedo hadi g-string inaonekana,ziwa limeboostiwa linataka kupaa,kweli m/me rijali aka shababi atavumilia hayo mambo? Mabinti mkiacha mitego ukimwi utapungua sana!
 
Wanaume wanajiendekeza tu wala hamna sababu yoyote ya msingi inayowafanya wacheat hovyo! Unakuta mtu kaoa then mke wake kasafiri kwa week mbili tu but mume anacheat sasa hiyo kama sio kujiendekeza ni nini?!
 
hakuna muda maalum ambao mwanaume anaweza kukaa bila kumega... ni uamuzi tu wa kutoendekeza hayo mambo

naongezea tu....

Mi nilishawahikaa miezi 8 bila kumega na nikawa niko poa tu, so how long or short inategemea na jinsi mhusika anavyoendekeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom