KUJIUZURU/KUACHIA NGAZI KWA VIONGOZI- Mtizamo wangu

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,419
1,981
Wasalaaam wana JF,
Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini basi viongozi wetu (Mawaziri,makatibu wakuu wa wizara mbalimbali,wakuu wa mikoa na hata wa wilaya nk.) wamekuwa ni wagumu kwanza kukubali kuwa wamefanya kosa au uzembe katika kutekeleza majukumu yao kama walivyopaswa lakini pili na kubwa zaidi ni kushindwa kuchukua hatua ya kuachia nyadhifa zao (kujiuzuru) kutokana na aidha uzembe,makosa,rushwa au hata utovu wa nidhamu kwenye ofisi zao??!!!
MTAZAMO WANGU:
Ni ukweli usiopingika kuwa linapokuja suala la kiongozi yeyote (hasa wa kisiasa) ni wagumu sana kufikia hatua ya kujiuzuru kutokana na mambo kadhaa;-

• Wengi wa viongozi hawa wa kisiasa wapo ofisini ili kutetea maslahi yaobinafsi ya kiuchumi
• Wana hofu ya kuburuzwa mbele ya mkondo wa sheria na hatimaye kuishia gerezani
• Kiasi cha fwedha wanachovuma wakiwa na nyadhifa zao ni nono kulinganisha na mwajiliwa wa kawaida (fikiria kuhusu posho nono, safari mbalimbali za ndani na nje ya nchi nk.)
• Wengi wao wana ndoto za kushika nyadhifa kubwa zaidi ya hizo walizonazo kwa muda huo, hivyo kitendo cha wao kujiuzuru ni kujishusha kisiasa kwa wananchi.
• Vilevile wengi wao hutumia kivuli cha uongozi kupata upenyo wa kujihusha na ukwepaji mkubwa wa kodi katika biashara zao walizonazo.
• Na hata wengine hung’ang’ania uongozini ili kuficha biashara chafu walizonazo ambazo thamani yake haiendani na nyadhifa walizonazo kama viongozi wa umma.

Kiufupi nchi za wenzetu tunaosikia wakijiuzulu nyadhifa zao kwa makosa/uzembe unaotokea kwenye ofisi zao huwa na mitazamo chanya tofauti ni mitazamo hasi waliyonayo viongozi wetu ambao wao hujikita zaidi katika maslahi yao binafsi. Wenzetu wanajiuzulu mosi kuonyesha umma kwamba ni wawajibikaji, pili ni kutoa nafasi ya kufanyika uchunguzi ili kubaini matatizo yalipo ikiwa ni jukumu la kuonyesha kuwa hawahusiki lakini lilo kuu ni kuleta dhana nzima ya uzalendo ikiwa na maana kuwa wao si zaidi ya nchi kwani wao watapita na uongozi wao utafikia kikomo siku moja lakini kamwe nchi yao iatabaki vizazi hata vizazi. Hilo basi ni funzo kubwa sana tulipatalo kutoka kwa wenzetu wanaojua nini maana ya uzalendo na uwajibikaji.

Nitamatishe kwa kutoa wito kwa viongozi wetu wan chi yetu nzuri; imefikia wakati wa kujua kwamba wao sio spesho kwa kujiona ndio wenye dhamana ya kuwa viongozi pekee katika nchi hii. Hakuna aliye sahihi muda wote na watambue kuwa jukumu tulilowapa sisi wananchi ni wao kutuongoza njia kuelekea kuleeeeee ambako wote tutaishi kwa furaha tukifaidi kwa umoja na usawa rasilimali ambazo Mungu alitupendelea sisi nap engine akawanyima wengine. CHEO NI DHAMANA na hakuna mtu mwenye haki zaidi ya kumuongoza mwenzie kwa kung’ang’ani madarakani kwani ofisi hizi/uongozi huu ni kwa ajili ya wote ni si kwa ajili ya watu Fulani ambao wao hujiona ni spesho zaidiya wengine!

Naomba kuwasilisha!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA​

Wasalaaam wana JF,

Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini basi viongozi wetu (Mawaziri,makatibu wakuu wa wizara mbalimbali,wakuu wa mikoa na hata wa wilaya nk.) wamekuwa ni wagumu kwanza kukubali kuwa wamefanya kosa au uzembe katika kutekeleza majukumu yao kama walivyopaswa lakini pili na kubwa zaidi ni kushindwa kuchukua hatua ya kuachia nyadhifa zao (kujiuzuru) kutokana na aidha uzembe,makosa,rushwa au hata utovu wa nidhamu kwenye ofisi zao??!!!

MTAZAMO WANGU:

Ni ukweli usiopingika kuwa linapokuja suala la kiongozi yeyote (hasa wa kisiasa) ni wagumu sana kufikia hatua ya kujiuzuru kutokana na mambo kadhaa;-

Wengi wa viongozi hawa wa kisiasa wapo ofisini ili kutetea maslahi yaobinafsi ya kiuchumi

Wana hofu ya kuburuzwa mbele ya mkondo wa sheria na hatimaye kuishia gerezani

Kiasi cha fwedha wanachovuma wakiwa na nyadhifa zao ni nono kulinganisha na mwajiliwa wa kawaida (fikiria kuhusu posho nono, safari mbalimbali za ndani na nje ya nchi nk.)

Wengi wao wana ndoto za kushika nyadhifa kubwa zaidi ya hizo walizonazo kwa muda huo, hivyo kitendo cha wao kujiuzuru ni kujishusha kisiasa kwa wananchi.

Vilevile wengi wao hutumia kivuli cha uongozi kupata upenyo wa kujihusha na ukwepaji mkubwa wa kodi katika biashara zao walizonazo.

Na hata wengine hung’ang’ania uongozini ili kuficha biashara chafu walizonazo ambazo thamani yake haiendani na nyadhifa walizonazo kama viongozi wa umma.

Kiufupi nchi za wenzetu tunaosikia wakijiuzulu nyadhifa zao kwa makosa/uzembe unaotokea kwenye ofisi zao huwa na mitazamo chanya tofauti ni mitazamo hasi waliyonayo viongozi wetu ambao wao hujikita zaidi katika maslahi yao binafsi. Wenzetu wanajiuzulu mosi kuonyesha umma kwamba ni wawajibikaji, pili ni kutoa nafasi ya kufanyika uchunguzi ili kubaini matatizo yalipo ikiwa ni jukumu la kuonyesha kuwa hawahusiki lakini lilo kuu ni kuleta dhana nzima ya uzalendo ikiwa na maana kuwa wao si zaidi ya nchi kwani wao watapita na uongozi wao utafikia kikomo siku moja lakini kamwe nchi yao iatabaki vizazi hata vizazi. Hilo basi ni funzo kubwa sana tulipatalo kutoka kwa wenzetu wanaojua nini maana ya uzalendo na uwajibikaji.

Nitamatishe kwa kutoa wito kwa viongozi wetu wan chi yetu nzuri; imefikia wakati wa kujua kwamba wao sio spesho kwa kujiona ndio wenye dhamana ya kuwa viongozi pekee katika nchi hii. Hakuna aliye sahihi muda wote na watambue kuwa jukumu tulilowapa sisi wananchi ni wao kutuongoza njia kuelekea kuleeeeee ambako wote tutaishi kwa furaha tukifaidi kwa umoja na usawa rasilimali ambazo Mungu alitupendelea sisi nap engine akawanyima wengine. CHEO NI DHAMANA na hakuna mtu mwenye haki zaidi ya kumuongoza mwenzie kwa kung’ang’ani madarakani kwani ofisi hizi/uongozi huu ni kwa ajili ya wote ni si kwa ajili ya watu Fulani ambao wao hujiona ni spesho zaidiya wengine!

Naomba kuwasilisha!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA

Umesema ukweli lakini watasikia?

uongozi mtamu hasa ukiwa unaambatana na posho.

Na hapo kwenye suala la posho ndiyo kabisaaaaa hainingiliiii akilini kabisa, iweje posho zilipwe wakati mtu upo kazini na umalipwa mshahara kwa ajili ya hiyo ajira?!!

Back
Top Bottom