Hata hivyo ni dharau kwa wanakinondoni kwa mtu walimpigania kushinda kiti kike kisha akawaacha bila kukutana nao wamshauri! Hii haina tofauti na mke uliyemuoa kwa sherehe kubwa na kukaa siku chache kisha akakubwaga na kurudi tena kutaka kuolewa na nduguyo wa damu! Hafai kwa nafasi yoyoye ya uongozi kinondoni na hata kuishi hapo ahame tu akakae kwao rufiji asije akaambukiza maradhi ya toroka uje hapo!